Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Mkuu unakunywa maji lakini....vip kuhusu interval yako ya unywaji.....
Unakunywa Kila siku au....

Jarib kuchanganya na energy drink 🍷

Kama ni daily routine yako ujaribu kwenda kuchek FIGO
Maana ishu ya kusweat sana na kukojoa mara Kwa mara ni dalili ya mwanzo mwanzo za matatizo ya FIGO...
Hamna sehemu nimesema nakojoa mara kwa mara
 
Achana na pombe dear si nzuri,i learned the hard way🙏nilipatwa na stress kutokana na matatizo kazini, aiseeh niligeuka mlevi balaa,Tena daily,nilifika stage mbaya sana,ni kwa neema za Mungu tu nimetoka huko na nimeikinai pombe kabisa,Mungu akupiganie🙏
 
Sio ligi brother 🤓🤓😊😆 😂🤣🤣 mm nilicho fanya ni kuchimba deep....
Kwa dalili ulizo SEMA hata uki google utakutana na scenerio...

Tupo pamoja
 
Achana na pombe dear si nzuri,i learned the hard way🙏nilipatwa na stress kutokana na matatizo kazini, aiseeh niligeuka mlevi balaa,Tena daily,nilifika stage mbaya sana,ni kwa neema za Mungu tu nimetoka huko na nimeikinai pombe kabisa,Mungu akupiganie🙏
Nyinyi NDIO mnao shindanaga na pombe 🤓🤠😊😆😂🤣🤣😃🙂🌝 lazima zikuzingue...
Kunywa kidogo narudia Kunywa for leisure tena baada ya kazi....

Unakuta mtu analala mtaroni, anashindwa Hadi kutembea, anakuta mtu wa maugomvi na kutukana.....akilewa NDIO anaanza kuongea kingereza 🤣🤣😂

Pesa yote inaishia kwenye ulabu hajar familia..for sure mtu wa aina hii pombe 🤓🤠 hazimfai....

Drinking responsible....kunywa Kwa akili pombe sio shetani shetani ni mtu mwenyewe....

NB: siwatetei WALEVI
 
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Mkuu kapime kiwango cha sumu mwilini
 
Nyinyi NDIO mnao shindanaga na pombe 🤓🤠😊😆😂🤣🤣😃🙂🌝 lazima zikuzingue...
Kunywa kidogo narudia Kunywa for leisure tena baada ya kazi....

Unakuta mtu analala mtaroni, anashindwa Hadi kutembea, anakuta mtu wa maugomvi na kutukana.....akilewa NDIO anaanza kuongea kingereza 🤣🤣😂

Pesa yote inaishia kwenye ulabu hajar familia..for sure mtu wa aina hii pombe 🤓🤠 hazimfai....

Drinking responsible....kunywa Kwa akili pombe sio shetani shetani ni mtu mwenyewe....

NB: siwatetei WALEVI
Ujumbe haukuwa wako 🙏nimeona post ya mhusika nakaamua kumshauri kutokana na personal experience,hayo mengine yako ndugu 😅😅 just chill life is not that hectic 🤔
 
Mkuu kapime kiwango cha sumu mwilini
Very true na akija tutamwandikia...izo dawa saccharomyces boulardii (probiotics suppliments)
Izo dawa Zina brand nyingi....flora norm sachets, normagut capsules, pia hata colon care (Avalife)
 
Hahaha
Yaani hizo FOKABULARI zimenitoa kapa
 
Back
Top Bottom