Aiseh aiseh.Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Alcohol intolerance tena? Kwamba mina overdose?Night sweats and alcohol: Causes and treatment
Consuming alcohol may cause night sweats in some people. Night sweats could be a sign of alcohol withdrawal or intolerance. Learn more here.www.medicalnewstoday.com
Kama Mzee WA UPAKO[emoji23][emoji23][emoji23]Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Ila zinaposhuka chini si unaloa sanaNapenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
InawezekanaI wish I Could