Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usingizi ulikata ndio naamka muda huuUlishapima mapigo yako ya moyo kabla haujatumia kinywaji hiko?
Hata hivyo nimekuheshinu, kumywa konyagi nusu lita nzima kwa kuichanganya na pombe tamu kisha ukaendelea kuwa na kumbu kumbu za kutiririka majasho!
Kwa mtu mwingine hapo ni kuzimika hadi asubuhi kunapokucha ndiyo atajiona alipo.
Wow unaijua style ya mtaliban kafia kwenye fiatI'm good, sexy, romantic and creative
wewe una sweat at 16C unadhani kuna nini hapo?So you are an angel of death on duty?
Acha kupotosha watu , kam inamletea madhara Kwann aendelee kuitumia japo anaipenda....ponder about impact ya kitu hicho haijalish anaipenda kwa kiwango gani?Hayo maini yanaselebukaje + kushikilia figo lazima jasho likutoke.
Anyway hao wanaokwambia magonjwa achana nao usipokufa kwa hiyo pombe, mzembe barabarani atakugonga, mara ulishwe sumu, mara urogwe so keep doing what you like
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
kwa kawaida pombe kali haifai kuchanganywa na wineNapenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Sasa ww unakunywa moto unataka usisweatNapenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Kinuwaji changu pendwa kabisa..😋Jaribu na gongo tuone
Wewe ndio fukara unafakamia pombe za ova mpaka unaelekea kufaUtakufa wewe na ufukara wako utaniacha nadunda