Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Jaribu kunywa konyagi usichanganye na imagi ...uwe una changanya na kvant ukimaliza baadae kunywa valuer nyingi
JF ya siku hizi imevamiwa na ma jobless nm wengi, as long as wanajua tu kuandika, basi wanaandika tu
 
Ulishapima mapigo yako ya moyo kabla haujatumia kinywaji hiko?

Hata hivyo nimekuheshinu, kumywa konyagi nusu lita nzima kwa kuichanganya na pombe tamu kisha ukaendelea kuwa na kumbu kumbu za kutiririka majasho!

Kwa mtu mwingine hapo ni kuzimika hadi asubuhi kunapokucha ndiyo atajiona alipo.
Usingizi ulikata ndio naamka muda huu
 
Hayo maini yanaselebukaje + kushikilia figo lazima jasho likutoke.

Anyway hao wanaokwambia magonjwa achana nao usipokufa kwa hiyo pombe, mzembe barabarani atakugonga, mara ulishwe sumu, mara urogwe so keep doing what you like
Acha kupotosha watu , kam inamletea madhara Kwann aendelee kuitumia japo anaipenda....ponder about impact ya kitu hicho haijalish anaipenda kwa kiwango gani?
 
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.

"It is something very unique and tasty" !!😏😏

Si ndio hivyo vinywaji vyenye masharti kwamba; mtu aliyechini ya umri wa miaka 18 haruhusiwi kunywa!!?.

Kusweat kwa namna hiyo ni dalili ya kidney malfunction na labda inaweza kuwa dalili ya liver cirrhosis, hayo ni maandalizi ya kifo chako mwenyewe kwa pesa yako mwenyewe, mtu uta sweat vipi at 16°C kama hicho unachokunywa sio sumu ??!!

Ushauri wangu punguza pombe na hatimaye uache kabisa.
 
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
kwa kawaida pombe kali haifai kuchanganywa na wine
 
Tatizo linakuja baada ya huo mchanganyo,kunywa dry au changanya na lemon powder...
Utanishukuru badae...
 
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Sasa ww unakunywa moto unataka usisweat
 
Back
Top Bottom