Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Mwili unareact vtu vigen
Ukizoea inakua kawaida
Usweat tena...mwaga moto tu
Mim namwaga moto na kvant+kill
Iyo biashara ya kunguza Figo cjui ini
Zingatia msoc na maji
Ini linatabia ya kuheal lenyewe
 
Wale wa Jägerbomb , tuna comment wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana jasho lake hapo.. ukitia na gin kidogo ni balaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pombe kali 😊😊😊 ukienda hospital utapata mshituko ufe haraka... Too late figo zishaanza kufeli ndio maana una sweat...
 
Kusweat at 16°C si kitu Cha kawaida. Ni hatari sana.

Lakini kabla ya kuyasema mengine, una uhakika kwamba hiyo 16°C ya AC ni kweli ama Ina changamoto? Kwa sababu AC zingine Zina changamoto sana, unaweka temp Fulani ila kinachopatikana ni nyingine tofauti.

Pili, je unaset ukiwa timamu au tayari ukiwa tungi? Kwa sababu, huenda mawenge ya kulewa yakakuonyesha ipo at 16 kumbe wewe umeweka 26.
 
Waongo na wanafiki woote hao,hiyo ni inshara ya sumu kujaa mwilini,hapo kunywa sana maji na kufanya mazoezi kuweka mwili sawa.
 
Waongo na wanafiki woote hao,hiyo ni inshara ya sumu kujaa mwilini,hapo kunywa sana maji na kufanya mazoezi kuweka mwili sawa.
Ushauri mzuri sana huu
 
Hiyo coctail yako sijui tuipe jina gani ?🤔🤔🤔🤔🤔 anyways tuiite RED SPIRIT...
 
Back
Top Bottom