Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,045
- 28,216
Ebwana yule dada si akaanza kuniwashia moto.... Akasema usije kumpiga mtoto wangu hata mmoja na hata hata ukiwakuta wanauana waache usinipigie wanangu Babu weee...
Tena komaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebwana yule dada si akaanza kuniwashia moto.... Akasema usije kumpiga mtoto wangu hata mmoja na hata hata ukiwakuta wanauana waache usinipigie wanangu Babu weee...
Tena komaa.
Mama yao ndiyo kayataka kwa kauli zake mimi wala sina kosa kabisa hapo mzee.
Ila binadamu tunatofautiana ujue,,juzi kati tu tulikuwa katika gari ndogo tukamkanyaga mbuzi akavunjika uti wa mgongo dah niliumia vibaya mno,,tukamlipa jamaa fidia na kuwaomba wamchinje chap kuondoa maumivu kwa kile kiumbeUna roho mbaya sana wewe jamaa,
Bila shaka huna mtoto,
Kwanza ulikosea toka mwanzo kua unampiga yule mtoto mkubwa,ungewaelimisha tu kua wapendane na wasipigane kwani wao ni ndugu,kama wasingekusikia ungemtaarifu Mama yao kuliko kuwapiga,
Hata kama Mama yao alikukataza kuingilia ugomvi wa watoto wake ila kitendo cha mmoja kumchoma kisu mwenzake ulitakiwa utoe msaada kwa huruma ya huyo mtoto na sio kwa kufuata maneno ya yule Mama,huyo mtoto ni mtoto wa taifa ndio maana hata kumuua mtoto wako ni kosa la jinai,hata kujiua ni kosa la jinai,
Umekosea sana,kama mtoto kaharibiwa jicho,sio tu hasara kwa huyo Mtoto na Mama yake bali ni hasara kwa taifa pia,kumbuka watoto ndio taifa la kesho,
Mungu akusaidie kukupunguzia hiyo roho mbaya na roho ya visasi.
Nimeipenda hiiKaka hili utalilipia kwa kujua Au bila kujua.
Huwezi Acha watoto wanaumizana eti kisa mama Yao alikufokea.Wanawake wanahasira za karibu sanaa anaweza akatamka neno hapo na asiwe amemaanisha. Wanawake ni wagumu sana kuomba msahaha pia ujue Hilo ni nature yao.
Hukupaswa pia kumpiga yule mtoto mkubwa Makonzi, ulipaswa kuchukua nafasi ya baba hata Kama wale sio wanao.Ungewaita na kwenda nao dukani ukawanunulia pipi ukaanza kusema nao wapendane,Ungemsihi mkubwa amlinde mdogo wake na mdogo amlinde mkubwa ungebarikiwa mno.Kutoa adhabu ulizidisha chuki kwa watoto hawa.
Unapata wapi ujasiri watoto wanaumizana wewe unaenda kufanya uzinzi?hapo kwenye tendo la ndoa ulilofanya ikitokea mimba imetunga unafikiri mtoto atakua na Roho gani.
Samahani kama nimekukwaza pia.
Uwanunulie Pipi? Alafu baadaye wakiumwa tumbo mama yao aseme umewalisha uchafu.Kaka hili utalilipia kwa kujua Au bila kujua.
Huwezi Acha watoto wanaumizana eti kisa mama Yao alikufokea.Wanawake wanahasira za karibu sanaa anaweza akatamka neno hapo na asiwe amemaanisha. Wanawake ni wagumu sana kuomba msahaha pia ujue Hilo ni nature yao.
Hukupaswa pia kumpiga yule mtoto mkubwa Makonzi, ulipaswa kuchukua nafasi ya baba hata Kama wale sio wanao.Ungewaita na kwenda nao dukani ukawanunulia pipi ukaanza kusema nao wapendane,Ungemsihi mkubwa amlinde mdogo wake na mdogo amlinde mkubwa ungebarikiwa mno.Kutoa adhabu ulizidisha chuki kwa watoto hawa.
Unapata wapi ujasiri watoto wanaumizana wewe unaenda kufanya uzinzi?hapo kwenye tendo la ndoa ulilofanya ikitokea mimba imetunga unafikiri mtoto atakua na Roho gani.
Samahani kama nimekukwaza pia.
Mkuu huo muda wote na hiyo bleeding huyo mtoto hakufa kweli anaendelea tu kupiga kelele. Isije ikawa umeweka sukari mtu kachanwa paja we unasema kisu kwenye jicho.Mama yao ndiyo kayataka kwa kauli zake mimi wala sina kosa kabisa hapo mzee.
Nimeipenda hii
Huyu sio wa kumuomba samahani kuwa umemkwaza,,inatakiwa dawa imuingie ili next time awe na akili
hao watoto wangeuana je?
Nafikiri na wewe unaona pia kuwa kijana mwenzetu alituangusha.Nimeipenda hii
Huyu sio wa kumuomba samahani kuwa umemkwaza,,inatakiwa dawa imuingie ili next time awe na akili timamu