Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

mnasifia na huwenda mkawapata wanaojistiri lakini mna michepuko wavaa vimini
 
Hayo mavazi yapo kabla ya uislam, hiyo ni desturi ambayo iko kwa miaka mingi wala haihusiani na uislamu
 
Unajua mavazi ya stara ndio mungu anavyotaka watu wavae but hayo mengine ni utamaduni wa magharibi na dada zetu ndio wanaona wanapendeza kukaa utupu, wapo waislam wanaovaa vibaya tu sema kwenye dini ya uislam kuna makemeo mengi ndio maana wanajitahidu kujistiri sana tofauti na ukristo ambapo mtu anaweza kwenda nyumba ya ibada akiwa kavaa vibaya
 
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.

So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
وَقُلْ لِلْمُؤْمِنَاتِ يَغْضُضْنَ مِنْ أَبْصَارِهِنَّ وَيَحْفَظْنَ فُرُوجَهُنَّ وَلَا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلَّا مَا ظَهَرَ مِنْهَا ۖ وَلْيَضْرِبْنَ بِخُمُرِهِنَّ عَلَىٰ جُيُوبِهِنَّ ۖ وَلَا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلَّا لِبُعُولَتِهِنَّ أَوْ آبَائِهِنَّ أَوْ آبَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ أَبْنَائِهِنَّ أَوْ أَبْنَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي أَخَوَاتِهِنَّ أَوْ نِسَائِهِنَّ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُنَّ أَوِ التَّابِعِينَ غَيْرِ أُولِي الْإِرْبَةِ مِنَ الرِّجَالِ أَوِ الطِّفْلِ الَّذِينَ لَمْ يَظْهَرُوا عَلَىٰ عَوْرَاتِ النِّسَاءِ ۖ وَلَا يَضْرِبْنَ بِأَرْجُلِهِنَّ لِيُعْلَمَ مَا يُخْفِينَ مِنْ زِينَتِهِنَّ ۚ وَتُوبُوا إِلَى اللَّهِ جَمِيعًا أَيُّهَ الْمُؤْمِنُونَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipo kuwa unao dhihirika. Na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao, au watoto wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kaka zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, au wafwasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyo khusu uke. Wala wasipige chini miguu yao ili yajuulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa.
 
Mie napenda mavazi ya masai na watatulu hasa ukute yamevaliwa na binti ambae bado kigoli wacha wee!
 
unaongelea mambo safi tu ee...wale wengine wa kawaida vipi ambao sio mambo safi
 
Hapo kwenye hayo mavazi ndipo wadada wa kiisilam wanaponivutia sana. Bint takae muoa kwa 99% atakuwa mtoto wa kiisilam ambae anavaa hayo mavazi japo mimi ni Christian. Tena hasa wale wenye rangi a.k.a weupe au maji ya kunde then awe anavaa haya mavazi kiukweli lazima tambambika tu akipita karibu yangu
 
Hayo mavazi yapo kabla ya uislam, hiyo ni desturi ambayo iko kwa miaka mingi wala haihusiani na uislamu
Kuna watu wana roho za ajabu sana.
Anaona shida sana kusema uislam umeamrisha.
Kiufupi ni kwamba uislam haukukataza kila jambo ulilolikuta bali kuna mambo watu walikua nayo na usilam ukawaacha nayo kwakua kwake yana maslahi na jamii yao. Pamoja na hilo kuna mambo yakatiliwa mkazo zaidi ili kuleta maslahi zaidi. Hakika hafanani mwanamke mwenye kujistiri maungo yake na mtembea nusu uchi
Huyu aliejistiri analinda mengi kuanzia heshima yake na hata ya mumewe. Kuna mijanaume haina wivu kabisa yani haoni shida maeneo nyeti ya mkewe yakionwa na marijali wengine wa nje huu ni udayuthi, pia kwa upande wa mwanamke humzidishia heshima na wengi wao hupewa mazingitio maalumu kama wanawake wema na hilo ndo lengo la kuamrishwa na hata leo hii tunalishuhudia. Tazama quran 33:59
 
Post yang ya juu hapo nimeandika na hilo ndo lengo la kuamrishwa.
Usahihi ni moja katika malengo ya kuamrishwa wajistiri.
 
م شا الله
الله يبارك لك ولعائلتك
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…