Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Chifusongea lazima una matatizo !. Nitajie mwanamme mmoja tu ambaye hapendi vimini?. Maneno muchigudi!
 
Napenda wavaa vimini.. Ila miguu iwe ya ukweli.

Napenda wavaa madera.. Ila Tako liwe la ukweli
 
Kumbe ni kuhusu dini?
 
Exactly mom
 
mkuu nikusahihishe kidogo siyo kweli kwamba dini ya kikristo inaruhusu mwanamke kuvaa nguo fupi hayo yalikuwa mawazo yako na yeye na pia siyo kweli mpaka mwanamke avae ijabu ndo amejisitiri mfano akivaa gauni likapita hadi magoti kuna ubaya gani

napenda sana mwanamke anayesitiri mwili wake
 
Hata mimi hiyo hali ilikua inanipata sana wakati nikiwa bado mshamba!!
 
Mwanamke mvaahasara anafaa tu kwa usiku mmoja mke mwenye staha ya uvaaji huyo ndiye aolewe tunaelewana?hivi mnaandika lakini?
nimesikia ila sina daftari na kalamu, una mkwara ww hahahaha......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…