Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
Kuuwa ni kuuwa tu, iwe umeuwa kwa risasi, uwe umeuwa kwa sumu yote ni mauaji. Pia soma sheria za uchunguzi wa vifo zinasemaje. Uwezi nambia mie niende mzena, sihusiki na uchunguzi. Ila nahusika kudai haki kufanyika.Sankara aliuwawa kwa bunduki. Huyu alikuwa mgonjwa tangu alipokuwa mbunge na pengine kabla ya hapo.
Umeshajiuliza ni kwanini hakupanda ndege kwenda Ulaya hata mara moja?. Fanya kazi ndogo tu kuliko kulialia hapa jukwaani.
Nenda hospitali ya Mzena na omba taarifa za kuugua mpaka kufa kwa mheshimiwa JPM. Mengine yote unayoyaandika ni hisia tu za jumla jumla.
Mimi na Wewe tutakufa hakuna aliyeandikiwa na Mungu maisha ya milele.
Naamini ipo siku inakuja, iwe miaka zaidi ya kumi ijayo. Ila haki haipotei. Na msimamo wangu hautabadiliswa. Nasimamia kuundwa tume hata usemeje.