Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Mi nafikiri tungeanza kukubali wachunguzi huru kwa tukio la Lisu alafu ndio tuje kwa Magu ili kuonyesha wananchi hakuna upendeleo linapokuja swala la haki ya kuishi kwa kila Mtanzania
 
Huyo tu uhai wake una thamani kubwa kuliko wa B. Saanane, Azory, Tundu Lissu, Mawazo nk?
Mbona mpk anatuambia kikwete alizungumza nae Jana yake usiku na kuambiwa angeruhusiwa kutoka hospital siku inayofuata, lakini usiku huo magufuli akatangaza kifo chake.

HAPA NAPO VIPI NO DOUBT?

KUWENI NA AKILI NINYI, AUAYE KWA UPANGA , KWA UPANGA HUO ATAUAWA
 
Tuondolee upupu hapa na wewe, sheria sheria....sheria gani? Hiyo sheria ipo kwa Magu tu raia wengine wa Tanzania Hawana haki kisheria?!!! Nakuuliza Tundu Lissu Hana haki kisheria? Azory gwanda, Ben saa nane, akwilina akwilini, maiti za ufukweni, mawazo nk nk hawana haki kuundiwa Tume?!!!!!
Acha kabisa kuamsha khasira za watu, mwache mwenda kuzimu alale zake huko.
 
Don't waste your precious time with small things mbavyo havina maslahi yoyote kwa taifa! Tafuta kazi ya kufanya ili upate mkate wa siku mbili tatu mbele!
And don't forget that barking dog never stop the lorry! Waache wanaobweka wabweke kwani hawatasababisha pancha!
 
Sasa Kama walikuwa hawachukui tahadhari za kitaalam dhidi ya ugonjwa wasife kwa Nini? Kwan wao miili yao imeundwa kwa Chuma?!! Na kwani hata chuma si hupiga kutu na kusagika?
 
Kwa hiyo unapendekeza, kila aliyekufa kwa corona aundiwe tume?
 
HAKUVAA BARAKOA, AKAJIFANYA MBABE HAJALI CORONA, AKAUGUA CORONA KAMA ALIVYOUGUA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD NA PIERRE NKURUNZIZA NA MKEWE, HALAFU AKAFA KWA SABABU YA UKAIDI WAKE. PIA GWAJIMA AKASHINDWA KUFUFUA, SASA WEWE NA AKILI YAKO YA OVYO UNATAKA UCHUNGUZI WA NINI? AU WASUKUMA HUWA CORONA (KOLONA ) INAWAAGOPA???? ACHA UJINGA WEWE!
 
Kwa hiyo unapendekeza, kila aliyekufa kwa corona aundiwe tume?
Tunapendekeza iundwe Tume ili kuondoa mizozo kwa Raia sababu Wana maswal mengi ya kujiuliza pia hata wewe unaweza kua moja ya sababu ya sis kudai uchunguzi ufanyike sababu unawasi wasi Sana juu ya uchunguzi sijui unaogopa nn
 
Wasukuma huwa wana mambo, mtu akifa kalogwa tu. Mtu akiugua kipindu pindu, dysentery, au kichocho ni kalogwa tu. Sijui mtaelimika lini?
 
Reactions: BAK
Unataka kuchunguza kuhusu nini wakati inajulikana kwamba COVID 19 ndiyo iliyofanya lile Watanzania wengi walikuwa wanalitaka litokee kuhusu yule dhalimu!?
 
Watanzania kwa kupenda tume!

Mbona Mhe. Samia aliliweka vizuri suala hilo,alisema mwenye ushahidi ajitokeze na akapeleke ushahidi huo Polisi.Sasa kama una ushahidi si upeleke tu kwenye vyombo vya usalama.Pengine ushahidi wako ukionekana relevant siyo lazima iundwe tume, achaneni na kasumba ya tume.
Serikaki ikipata viashiria vya hujuma inaweza kutafuta wataam kwenye taasisi za kimataifa kama Scotland Yard wakachunguza na kubaini ukweli.
Otherwise Haya mambo ya kuunda tume ni namna fulani ya kujitafutia ka-ulaji ili maisha yaendelee.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Kodi za nani au wewe ndio utawalipa Posho hao watakaounda Tume ?
 
Tume ya nini lila mtu mwenye akili timam anajuwa magufuli kafa kutokana na tatizo la moyo lililosababishwa na covid19 .ndio maana sasa watu hasa viongozi wavaa barakoa kwenye mikusanyiko mikubwa magufuli ushamba wake wakuona Dunia nzima watu ni wabumbavu ndio vilivyo sababisha kifo chake lakini hata hivyo tunashkuru kaondoka mapema.
 
Nimefuatilia kutoka mwanzo wa thread nimegundua mnabishana na mwanachuo wa sheria first year!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Kodi za nani au wewe ndio utawalipa Posho hao watakaounda Tume ?
Kama Ni yeye anagharamia si ni heri akaitoe kwa watoto yatima? Na Kama Ni Serikali inatoa si ni heri iongezewe kwenye bajeti ya kukamilisha katiba mpya au walau iongezewe kwenye bajeti ya ulinzi wa mama yetu SSH

Watumishi wa Serikali hawajalipwa madai yao Hawa washamba wanaleta za kuleta hapa
 
Shangazi zake Majaliwa hao aliotaka kuwatandika kwenye maandamano ya korosho wakaamua kumtandika yeye.
 
Hiyo tume naomba GWAJIMA ASKOFU asiwepo kwa sababu anaweza kuturudishia shida ambayo MUNGU alituondolea.
 
Hiyo tume ikishaundwa ikagundulika walimuua, atafufuka?. Umeandika upuuzi .............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…