Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Yaaah na ndo wapiga kura halisi, pia wahudhuriaji kampeni, safari hii 2025 huyu mama atapiga kampeni sijui wapi na chama chake.

Ni heri aanze kusafisha kwa kutembelea wananchi.
Yafaa ukaonane na Askofu Gwajima amfufue. Sijui anangoja nini?
 
Acha kulia unapokumbushwa tabia za Marehemu wako. Hata hivyo kwani Askofu Gwajima kashindwa kabisa kumfufua?
 
Kutukana wazee wa mila si jambo jema - hapa alikuwa anaonywa tu.
Hakurudi tena kusini.
Ukiwa na waganga wasikuaminishe kwamba wao ndio mwisho, waganga uwaaingiza Sana watu chaka
 
Huu ni upumbafu na uchochezi uliopitiliza taarifa kwa umma amefariki kwa ugojwa wa moyo ambapo aliumwa miaka kumi iliyopita sasa uchunguzi upi! Wakati mgombea mwenzake alipigwa risasi zaidi ya 16 uchunguzi wala haukufanyika, peleka upumbafu wako huko




Video ya tukio la moshi hio apo chini.

 
Kama haikuundwa tume wakati mzee nyerere alipofariki walisema mkapa ndio aliefanya mpango ule yakapita tumesahau...mtu aliondoka na lake halipo Kama serikali iliahindwa kuunda tume kwa wananchi mbalimbali waliopoteza maisba na kupotea katika mazingira yakutatanisha ni heri tusipoteze muda ziundwe tume zakutatua matatizo na changamoto za wananchi
 
Hizi story za kifo cha mwendazake tuzifunge sasa. Tuangalie nchi inajengwaje na rais aliopo sasa mheshimiwa Samia Suluhu Hassani.
 
Kwa haya yanayoendelea hapa nchini kuanzia alipozimika tarehe 09/ 03/ 2021 hadi kufika leo 23/ 05/ 2021 takriban siku 70 mambo yamebadikika Sana.

Kwa ukweli uliopo Tanzania ya sasa hata AKIFUFULIWA, ataomba AULIWE mwenyewe baada ya Dakika 5 tu.

Hawezi kuthubutu kuona namna alivyosalitiwa kwanza na waliomuunga mkono kisengerenyuma. Na pili jinsi WATANZANIA wakivyoojaa FURAHA
 
Uchunguzi hautafanyika Ila kama kuna mkono wa mtu basi nae atamfuata mwendazake siku si nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…