mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Siku ya mazishi alikuwa kajikausha utafikiri sio yeye anaefufuaga wafu.Kazi ya ufufuo tumwachie Rashidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya mazishi alikuwa kajikausha utafikiri sio yeye anaefufuaga wafu.Kazi ya ufufuo tumwachie Rashidi
Wazee wa kusini aka korosho walimpiga moisture dadadeq..... kuroka ropoka kwa mno.
Kutukana wazee wa mila si jambo jema - hapa alikuwa anaonywa tu.Mbona kama ni hitilafu ya gari
Yafaa ukaonane na Askofu Gwajima amfufue. Sijui anangoja nini?Yaaah na ndo wapiga kura halisi, pia wahudhuriaji kampeni, safari hii 2025 huyu mama atapiga kampeni sijui wapi na chama chake.
Ni heri aanze kusafisha kwa kutembelea wananchi.
Acha kulia unapokumbushwa tabia za Marehemu wako. Hata hivyo kwani Askofu Gwajima kashindwa kabisa kumfufua?Nadhani hata hujui nilichoongelea unakurupuka kuandika. Fatilia ujue nini kinaongelewa na kwnini. Si kuwashwa ukisikia tu Lisu basi unaandika bila kujua story imeanzia wp. Sasa upupu uloandika ndo dawa. Watu wengine. Think before you allow your mind to narrate on the issue or topic presented. Si kuja na vijineno ukajiona unamdomo mchafu. Matusi nayajua ila nafanya staha.
😂😂😂😂ndo maana yakeAkikutwa alitakiwa kufa afe tena, si ndio hivyo?!?!
Hakurudi tena kusini.Kutukana wazee wa mila si jambo jema - hapa alikuwa anaonywa tu.
Sikuzote watu wenye mtizamo mdogo ufikiria kujadili watu badala ya hojaAcha kulia unapokumbushwa tabia za Marehemu wako. Hata hivyo kwani Askofu Gwajima kashindwa kabisa kumfufua?s
Pole sanaSikuzote watu wenye mtizamo mdogo ufikiria kujadili watu badala ya hoja
Huu ni upumbafu na uchochezi uliopitiliza taarifa kwa umma amefariki kwa ugojwa wa moyo ambapo aliumwa miaka kumi iliyopita sasa uchunguzi upi! Wakati mgombea mwenzake alipigwa risasi zaidi ya 16 uchunguzi wala haukufanyika, peleka upumbafu wako hukoHabar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa
Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind
Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Kama alipokuwepo mwenyew hakutoa dokezo Sasa y Sasa hivi udokozwe viongozi wapo busy kujenga nchiWAPO watakao amin mimi binafs ningependa kupata hata kidogo dokezo la chanzo cha ule mosh
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.