Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

 
Hoja inaungwa mkono na ishirikishe watalaamu wafuatao bila kuchomeka mwanasiasa au mwanaharakati wa aina yoyote
1. Cybercrime/Cyber-security & IT/Ethical Hacking (Forensics)
2. Madaktari bingwa wa mifumo ya umeme wa moyo (pacemaker operative & troubleshooting experts) na human anatomy
3. Wanasheria
4. Wanausalama
5. Majaji wabobezi
6. Wapelelezi wasio na mfungamano na upande wowote

NB: Bunge, Mahakama na Serikali wasubiri matokeo yake kwa uchambuzi na utekelezaji.

Wanaotoa madai haya wasipuuzwe kwa kuwa ni kutengeneza bomu kubwa sana ambalo kulipika kwake unaweza kupelekea utawala ulipo kuja kushitakiwa baadae kwa kukwamisha sauti za wananchi kusikilizwa kwa kuwa hawajavunja sheria yoyote.
 
Mboam isiundwe kwanza tume ya kuchunguza walimshambulia Lissu
 
Watanzania hao wenye shuku na uchunguzi juu ya kifo cha mpendwa wetu JPM huwezi kuwakuta JAMII FORUM au TWITTER tuko wachache

Wengi sana hawana ACCESS ya hii mitandao miwili.

Hao ambao hawana access na mitandao wala hawajui nini kinaendelea, wala hawana muda wa kujiuliza maswali ya hivyo. Kama hao wenye shauku hawako huku mitandaoni, huyo muhuni mwenzio anajiliza nini huku mitandaoni? Kama miradi yenu binafsi ilikuwa haijasimama mkimtegemea dhalimu, basi mjue imekula kwenu.
 

kwakua sote ni binadamu, vyema tuanze na vifo vingi ama kupotea kwa watu wengi kama miili kuokotwa kwenye sandarusi zenye miili kwny fukwe, kupotea kwa Azory, Ben nk, kisha ije tume ya unayo ishauri serikali..

vitu viende kwa mstari sio mupe muruke..
 
Waanzishie uzi basi pia usisahau pia juzi Kuna miil miwil imeokotwa ifadhin mwingine umeokotwa Arusha pia Kuna albino kauwawa bila shaka Atakua Magufuli anaiendeleza unyama wake kama sio yeye Basi Atakua Samia
 
Kalogwa na wenzake au wewe?
 
Waanzishie uzi basi pia usisahau pia juzi Kuna miil miwil imeokotwa ifadhin mwingine umeokotwa Arusha pia Kuna albino kauwawa bila shaka Atakua Magufuli anaiendeleza unyama wake kama sio yeye Basi Atakua Samia
hata mochwari kuna miili, na penyewe tuanzishe tume..

embu mwache mama kwanza afanye kazi..

kwann hukuanzisha huu uzi kipindi cha magu, kuhusu akina azory, ben na miili kwny sandarusi?

yy hakuunda tume ya vifo vyenye utata, why unamshinikiza mama aanze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…