Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Kauli ya Nyere aliwahi kusema kuwa " Uraisi ni mzigo mzito sana"

kazi ya uraisi sio lele mama haswa kama kweli umeamua kupambana kwa manufaa ya Taifa lako lkn kama umeamua kula starehe sio kazi nzito hata kidogo.

njia pekee ya kuchunguza kifo chake ni kufanya kazi kwa bidiii, kulinda Rasilimali za nchi yetu kwa masilahi ya wananchi, kwa kufanya hayo tunaweza kuwabaini walio husika.
 
Huo uchunguzi unaoutaka una maslahi gani kwako na kwa taifa?
Je, una tija yoyote kiuchumi?
Unataka kuwasahihisha madaktari waliomhudumia au Mungu?
Kama huna majibu ya maswali haya, Basi jinyamazie na kukupa tumaini la kuishi huku ukimaliza na kibwagizo Cha " kazi ya Mungu haina makosa kwani bwana alitoa na bwana ametwaa na jina lake lihidimiwe"!
 
Yaaah na ndo wapiga kura halisi, pia wahudhuriaji kampeni, safari hii 2025 huyu mama atapiga kampeni sijui wapi na chama chake.

Ni heri aanze kusafisha kwa kutembelea wananchi.
Mjinga gani kakuambia CCM wanashinda sababu wanafanya kampeni?
 
Wape na hadidu za rejea na wapi wapeleke hiyo ripoti ya uchunguzi! Na pia muongezee na Bashiru na polepole pamoja na musiba ili kuweka mizania sawa!
Sijui mnatumia kilevi gani kinachaharibu ubongo wenu enyi binadamu!
Ikikupendeza wachunguze vifo vya watu wote kabla na baada ya magu kufariki!
 
Ni jukumu la serikali kuchunguza na kupata taarifa juu ya kifo hiki sio jukumu la raia kusema eti leteni taarifa tuzifanyie kazi huyo raia anajipenda apeleke hizo taarifa? utauliwa haraka sana. Kwanza hii issue tunaodai uchunguzi kuweni makini watu wana watu wao humu wana wachora tu. Uliona wapi Rais anaenda kutibiwa Mzena hospital ? hii ni hospital ambayo mimi ndo niliisikia muda huo, hata hospitals za wilaya zina hadhi zaidi ya mzena, labda hadhi yake sawa na zile za kata.
 

Mweka hazina awe Doto James
 
Mtaani JPM amefahamika kauwawa,

Mnakaa kwenye AC huku hamjui kinachoendelea sababu furaha yenu imepatkana mnasahau wananchi, sijui 2025 watawaangaliaje mtaani.
Inaonekana una taarifa sahihi na kwa kuzipeleka hupajui! Hapa sio mahali pake. Zipeleke kwa igp au rpc aliye jirani na ulipo atazipokea na kuzifanyia kazi na majibu utayapata!
Nikutahadharishe tu kuwa; hili kosa la kutishia amani na usalama wa nchi adhabu yake unaijua? Sijakutisha Bali nimekusaidia kukupa elimu na kukuambia kuwa, " umejificha katikati ya uwanja wa Mpira yaani katikati ya dimba"! Wanakuona ujue!
 
,,,Huna mda mchfu we na nani, eti uvae barakoa huy mamako mwenyeweumemuona anavo vaa barakoa ?,,, ni mpumbavu
Heh! Tena? Maneno hayo waweza kumtamkia mamako? Basi huwezi Basi ufanye mkono wako uwe na break ya kuyaandika yasiyoandikika kwa watu wazima Tena mama zetu! Tafadhali usirudie Tena nakusihi!
 
Je wewe umewahi kujiridhisha na vifo vya ndugu zako au unajitutumua tu.


Mimi nashauri iundwe TUME HURU YA UCHAGUZI
 

Well
Si wewe pekee uliefutiwa uzi wa aina hio humu nakumbuka kuna mshiriki mmoja alikuja na mada " Utata juu ya kifo cha Magufuli " pia waliufuta ule uzi, alielezea vyema sana na utata wenyewe uligusia kwenye ;

1. Hujuma katik kifaa cha pacemaker
2. Ujio wa wageni kutoka china
3. psu ndani ya psu

Au tutegemee kuna utata zaidi ambao haukuzungumwa hapo

Matukio yanayozalisha maswali ( ? ) ni mengi ikiwemo hilo taarifa za mgonjwa kuvuja hata kabla ya kifo na mbaya zaidi circle yake ( PM, Makamu, Wakuu wa mikoa nk ) haikua na taarifa na kama walipewa basi ni za uongo.

Hivi unadhani ni kweli Chalamila, Majariwa na Makamu walikua wanajua kuwa mzee amefariki ? ALAFU wao wakaamua tuu kusema yuko anapiga kazi ama yupo nimewasiliana nae. Inawezekana ?

Mbaya zaidi mtu tuu wa nje kabisa ya mfumo yuko full detailed na anatoa dhihaka juu ( Lema, Lissu na wengineo )

Mpaka taarifa za hayati kusafirshwa kwenda kenya walilijua and sishangai Kigogo kuwa na kibendera cha kenya kwenye account yake, hakipo kwa bahat mbaya

Kuna mambo mengi kweli yana leta utata.

Kuna umuhimu wa kuundwa Tume ituletee majibu, Lakin question comes what if they will lie ?
 
Mimi si serikali, Ningekuwa serikali ningefanya. Nachoongelea hapa kwanini kumekuwa na utata, toka anaumwa ilifichwa. Matamshi ya kuambiwa tu na madaktari hatuhitaji. Kama walitundanganya wakati anaumwa, ni kipi tutaamini. Tunachotaka ni uchunguzi huru.
Kuambiwa tupeleke ushahidi, ni maneno matamu ya kutaka kuchunguzi usifanyike. Swala Rais aunde Tume huru, watu watakuwa huru kupeleka huo ushahidi.
Uwezi mwambia mtu apeleke ushahidi, bila huyu mtu kutojua apeleke wapi, na je usalama wake utakuwa vipi?
Swala unda tume huru uone kama watu hawatopeleka ushahidi.
Watanzania si watoto sasa kuelezwa kauli za kudanganywa na kutishiwatishiwa.
 
Je wewe umewahi kujiridhisha na vifo vya ndugu zako au unajitutumua tu.


Mimi nashauri iundwe TUME HURU YA UCHAGUZI
Siwezi ingia hapa kuweka mambo binafsi ya familia, maswala ya familia umalizwa kifamilia. Na sijaongelea maswala ya kifamilia.
Naongelea maswala ya kitaifa. Alie kufa ni Rais wa Jamhuri ya muungano. Alilipwa mshahara na kutunzwa kwa kodi za watanzania. Kikubwa alikuwa mzalendo wa Taifa hili. Uchunguzi wa kifo chake ni muhimu. Kinakuuma nini uchunguzi ukifanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…