Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Mawazo ya kipu.mbavu ni dalili ya kuchanganyikiwa.Kutoa mawazo yangu sio kuchanganyikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya kipu.mbavu ni dalili ya kuchanganyikiwa.Kutoa mawazo yangu sio kuchanganyikiwa
Mwandiko wako utakugharimu, nakuhakikishia utagharamia matusi na uchonganishi huu unaoufanya.,,,Huna mda mchfu we na nani, eti uvae barakoa huy mamako mwenyeweumemuona anavo vaa barakoa ?,,, ni mpumbavu
Si Rais wa kwanza kula mahindi mtaani, mafano Kenyatta, amekula sana mahindi ya kuchoma mtaani, tena beach amekaa chini. Ni jambo la kawaida. Hakutaka kujitenga na jamii. Hata anapofikia kula mahindi usalama uwa upo.Kwa sababu alikuwa hashauriki na kila kitu alitaka afanye mwenyewe mpaka kufukia Kula mahind ya kuchoma barabarani wakat ni hatar kiusalama basi hakuna haja ya time maana hata matukeo yakija ya namna gani hakuna wa kumlaum zaid ya Marehem mwenyewe.
Mauaji yawe ya wazi au siri, yafanyike marekani au africa Kama Jeshi linalotakiwa litoe ulinzi wa Amiri jeshi lipo kimya we jiongeze.Nad
Uuwaji unatofautiana, ndo maana kunahitajika Tume huru ili kuchunguza. Mara ngapi marais au viongozi wakubwa wameuwawa kisiri na jeshi likawa kimya? Marekani Rais Kennedy, aliuwawa tena wazi wazi, je jeshi lilifanya nini? Rais Karume aliuwawa Zanzibar mbele ya umati je jeshi lilifanya nini?
Kuna mauwaji ya siri na uwazi. Hivyo uchunguzi ni muhimu ili kujiridhisha.
Sasa wewe kudai jeshi lingefanya nini? Mfano Rais kama alipewa sumu hilo jeshi lilikuwepo kjua kapewa sumu?
Tunataka uchunguzi kuondoa utata uliopo. Mada ina maana na ni muhimu kwa maslahi ya nchi.
Pombe je!!??,,,Tundu linapigwaje risasi ? ,,,,
Eti unapigaje risasi kwnye tundu ?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu safi kabisa.Unda wewe na mkeo.
Mbona nyerere,mkapa hamkuunda
Swali alipouwawa Karume jeshi lilikuwepo, nini kilifanyika? Unataka kusema jeshi liliridhia? Pia Rais si wa jeshi tu ni wataifa. Hatuwezi subiri jeshi. Tunachotaka ni uchunguzi.Mauaji yawe ya wazi au siri, yafanyike marekani au africa Kama Jeshi linalotakiwa litoe ulinzi wa Amiri jeshi lipo kimya we jiongeze.
Kama majeshi hayapo upande wa kutaka uchunguzi wa kifo cha amiri jeshi wao mkuu haina maana kuhubiri uchunguzi. Ts either ni natural death au wameruhusu hilo litokee.
Wafariki mara ya pili!!???Sasa hivi unasikia wanafariki????
Akili kumkichwa
Kuficha matukio ni kawaida kwa Serikali zenye mlengo wa kidikteta Ndio maana hata swala la corona walificha ukweli kwa madai ya kuzuia taharuki kwa wananchi. So hata kifo cha Nduli walificha kwanza ili kufanya maandalizi, hawakutegemea kama jamaa angekata moto ghafla
Na ulinzi wote ule nani angethubutu!?Sio kwamba walimtia ndimu
Sikiliza mchunguzi, unahitaji jeshi ili uchunguzi wako uwe na maana.Swali alipouwawa Karume jeshi lilikuwepo, nini kilifanyika? Unataka kusema jeshi liliridhia? Pia Rais si wa jeshi tu ni wataifa. Hatuwezi subiri jeshi. Tunachotaka ni uchunguzi.
Kama walivyojibiwa Ben saa8 na AzoryEe Mungu mpumzishe salama jpm wetu.na kama kuna mkono wa mtu tujibu baba.
nani alikwambia uchunguzi unafanywa na jeshi? Ha ha ha! Uchunguzi uhusisha vyombo tofauti, na wataalamu tofauti. Kama baadhi watatoka jeshini sawa kinachotakiwa ni uundaji wa tume huru. Uchunguzi uwa unafanyika kwa siri na wakati mwingine uwezi tambua nani yupo katika hiyo tume ya uchunguzi. Zaidi unawez amtambua mwenyekiti wa hiyo tume lakini si wajumbe.Sikiliza mchunguzi, unahitaji jeshi ili uchunguzi wako uwe na maana.
Unapotoa mifano ya mauaji na matokeo ya jeshi kukaa kimya unaprove kuwa baada ya uchunguzi nothing will happen kama jeshi halina ushiriki.
Jeshi kama halitaki ww chunguza tu ukae na ripoti zako, nothing will happen. Na uchunguzi ufanye kwa siri maana wakikudaka pia wengine watakuchunguza.
You need army to succeed kwenye claim zako.
Basi, jibu kwa wanaotaka uchunguzi ufanyike umeshawapa kwamba wewe na genge ulijualo ndio mlitekeleza nji hiyoKama The Hague imeshindikana, tume ya kuchunguza risasi zilipigwa na nani na walitumwa na nani imeshindikana, na mateso yanaendelea wewe unafikiri njia nyingine ingekuwa ipi?
Labda ufanywe na wanufaika but wengine tuna heshimu maamuzi ya Mwenyezi Mungu baada ya kusikia maombi ya wengi.nani alikwambia uchunguzi unafanywa na jeshi? Ha ha ha! Uchunguzi uhusisha vyombo tofauti, na wataalamu tofauti. Kama baadhi watatoka jeshini sawa kinachotakiwa ni uundaji wa tume huru. Uchunguzi uwa unafanyika kwa siri na wakati mwingine uwezi tambua nani yupo katika hiyo tume ya uchunguzi. Zaidi unawez amtambua mwenyekiti wa hiyo tume lakini si wajumbe.
Wakati Nyerere alipotaka kupinduliwa uchunguzi ulifanyika chini ya chombo maalumu. Kuna wakubwa walio kuwa jeshini walio husika walihojiwa hadi kufahamika wote walio husika.
Rais ndo Amiri jeshi mkuu. Anauwezo wa kuunda chombo chochote cha uchunguzi bila hofu.