Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Well Noted Mkuu..Fanya kazi wewe, acha kubwabwana mtandaoni. Haya unayoandika yatakugharimu muda si mrefu. Hatuwezi kuwafumbia macho wapumbavu wachache wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi wake, HATUWEZI.