Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Nadhani hata hujui nilichoongelea unakurupuka kuandika. Fatilia ujue nini kinaongelewa na kwnini. Si kuwashwa ukisikia tu Lisu basi unaandika bila kujua story imeanzia wp. Sasa upupu uloandika ndo dawa. Watu wengine. Think before you allow your mind to narrate on the issue or topic presented. Si kuja na vijineno ukajiona unamdomo mchafu. Matusi nayajua ila nafanya staha.
Crap!!
Kifupi Ni Hakuna uchunguzi hapa, kula kande zako kakojoe ulale...finito.
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Aliomba kazi ya kuwa kiranja wa malaika kaenda kuhudumu huko
 
Watanzania gani hao wanaotaka kamati ya uchunguzi Kama siyo MATAGA?
Tatizo lenu mlikuwa mnamshangilia Magufuli kama Mungu na mioyo yenu ilimwona Kama mungu,ndo maana hamtaki kukubali kuwa ni kweli amekufa,sasa aliyemchukua ni MUNGU sasa Mungu mtamuundia Tume?
Wapumbavu sana nyie MATAGA.
 
Tume ya nini yeye ali deny science akakumbatia ndumba ? Covid denying President ....kuna haja ya tume ?
 
Wanaounda tume ni nani? Waliokua wanakutangazia mzee wetu hajambo wakati alikua anaumwa? Mzee ameshalala tumuache apumzike!
 
Na Kama itatokea tume huru ya uchunguzi wa kifo hicho Cha mpendwa wetu, basi mm napendekeza uchunguzi huo ufanywe na makachero toka Korea kaskazini, au England " Scott yard"
 
Watanzania hao wenye shuku na uchunguzi juu ya kifo cha mpendwa wetu JPM huwezi kuwakuta JAMII FORUM au TWITTER tuko wachache

Wengi sana hawana ACCESS ya hii mitandao miwili.
Kwahyo hatimae tunakubaliana kua mashabiki zake ni mambumbumbu na wasio na elimu
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

ushakutana kwanza na wanafamilia kabla ya kuja na wazo la tume?
 
Si alikuwa akilindwa na ndugu zetu upande wa pili sasa anakufaje mtu mwenye ulinzi mkali
 
Mchunguzeni Mungu kama mnaweza maana ndiye aliamua kumlipa anavyostahili kwa kuua watu wengi bila kujali.
 
There is no need of witch-hunting. It is an open truth: Heart problem under Covid-19 infection.
 
Usisahau kuunda tume na kifo cha bibi na babu yako.Pumbafu sana!Kuna majitu yalimfanya Magu Mungu
 
Back
Top Bottom