BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
shida design ya kikwete inataka anaepita atoe hela kama Kigamboni.Wazo lako ni kwa nia njema lakini naamini rahisi ni ghali. Nnavyoelewa sensa hutakiwa kufanywa kwa siku moja tu. Hawa wajumbe zetu wa nyumba kumi (siku hizi, nasikia bwana yule,alizifanya za nyumba 50, siyo 10 tena) watayaweza hayo?
Halafu kwanini zikajenge flyover palepale ambapo lipo halijamaliza hata miaka 10? Au bwana yule aliona ile design iliyotolewa wakati wa Kikwete haifai na yake na engineer wake imebuma?
Rahisi ni ghali.
Kwa hiyo vijana wa Dar ndio unataka wapate afu wa huku nainjilinjiWatapata ajira ya ujenzi wa ma-flyover jijini Dar
Wajumbe wengi hawajui kutumia kishkwambiKwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za serikali ya mtaa/kijiji, ofcourse wapewe na posho kidogo.
Afisa mtendaji akusanye zote na kuziwasilisha ofisi ya wilaya/mkoa ya sensa kwa ajili ya majumuisho na uchakataji wa taarifa.
Pesa zitakazookolewa ziende zikajenge flyover pale TAZARA, foleni ya malorry pale imesababisha hali kuwa mbaya sana.
Nashangaa kwann TAZARA Hawakujenga kama UBUNGO badala yake wakaeka daraja...Basi nisameheni nimeteleza, zikatumike kila wilaya kuboresha huduma ya afya [emoji23][emoji23]. Ila foleni za malorry yanayoenda mikoa mbali mbali ikipungua, hata gharama za usafirishaji kwenda mikoa na wilaya husika inapungua.
La saba wale wanajua hata kutumia kishkwambai?Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za serikali ya mtaa/kijiji, ofcourse wapewe na posho kidogo.
Afisa mtendaji akusanye zote na kuziwasilisha ofisi ya wilaya/mkoa ya sensa kwa ajili ya majumuisho na uchakataji wa taarifa.
Pesa zitakazookolewa ziende zikajenge flyover pale TAZARA, foleni ya malorry pale imesababisha hali kuwa mbaya sana.
Mallory yote yaendayo mikoani yanatokea Bandari ya Dar , hivyo kuna umuhimu yakapita bila vizuizi visivyo na msingiNani kakwambia dunia inazungukia dar tu?
Wewe hapa ndio huna hoja, kwamba wajumbe wa nyumba 10 watashindwa kujaza hizo fomu?Dogo huna hoja ya maana hapo, hoja haina mashiko na haiwezi chukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ni hoja ambayo ikichukuliwa itawekwa pending kwanza.
Wewe unasema watatumia tablets, as if internet ipo kila mahali nchini na as if hiyo tablet inauzwa buku5, mimi napendekeza hao wajumbe wajaze fomu kwa peni na karatasi, kisha afisa mtendaji azifanyie digitization kwa ajili ya uchakataji na kuzituma taarifa mahala husikaMtoa mada hafahamu kwamba mwaka huu vitatumika vishikwambi (tablets) kukusanyia taarifa, sio wajumbe wote wanaweza kufanya hizo kazi.
Tumeshavuka huko kwenye peni na karatasi.Wewe unasema watatumia tablets, as if internet ipo kila mahalai nchini, mimi napendekeza hao wajumbe wajaze fomu kwa peni na karatasi, kisha afisa mtendaji azifanyie digitization kwa ajili ya uchakataji
Hii ni zama ya kulamba asali babu kama unauchungu na hii mali ya uma utachelewa Sana.Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za serikali ya mtaa/kijiji, ofcourse wapewe na posho kidogo.
Afisa mtendaji akusanye zote na kuziwasilisha ofisi ya wilaya/mkoa ya sensa kwa ajili ya majumuisho na uchakataji wa taarifa.
Pesa zitakazookolewa ziende zikajenge flyover pale TAZARA, foleni ya malorry pale imesababisha hali kuwa mbaya sana.
Kijana uko nyuma sanaa ya wakati, sensa ya mwaka huu inatumia technology ya kishikwambi ,madodoso yamewekwa huko.Wewe hapa ndio huna hoja, kwamba wajumbe wa nyumba 10 watashindwa kujaza hizo fomu?
Umesahau kuna madiwani walishawai shindwa kusoma kiapo nadhani ilikuwa morogoro au ww ni mgeni hapa galilaya(Tanzania)Mtu asiyejua kusoma wala kuandika hawezi kupewa ujumbe, hii kali sasa. Kama hii ni kweli, afisa mtendaji na mwenyekiti watawajibika kumjazia fomu zake, maana wao ndio walifanya uhuni wa kumpa ujumbe.
Kujua kusima na kuandika ni pre-requisite ya ujumbe, hata vijiji watu wanajua kusoma siku hiziTanzania ni kubwa, tembea uone usijifiche mtaa moja ukahitimisha ndio Tz nzima iko hivyo.
Kwani Bibi umesaliti chama au na wew umeanza kulamba asali.Wazo lako ni kwa nia njema lakini naamini rahisi ni ghali. Nnavyoelewa sensa hutakiwa kufanywa kwa siku moja tu. Hawa wajumbe zetu wa nyumba kumi (siku hizi, nasikia bwana yule,alizifanya za nyumba 50, siyo 10 tena) watayaweza hayo?
Halafu kwanini zikajenge flyover palepale ambapo lipo halijamaliza hata miaka 10? Au bwana yule aliona ile design iliyotolewa wakati wa Kikwete haifai na yake na engineer wake imebuma?
Rahisi ni ghali.
Sio kweli, wajumbe wote wanajua kusoma na kuandika, na kama walimpa ujumbe asiejua kusoma na kuandika, basi mwenyekiti na mtendaji wake watawajibika kumjazia hizo fomu, maana wao ndio wamefanya huo uhuniWe dogo wajumbe wa ccm hawajui kusoma Wala kuandika u know it?