FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money.
Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake.
Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia alama za vidole zilizosajiliwa na Nida, atatumia tu mashine zile zile za bank au smartphone za mawakala zilizoongezwa kipengele cha kupiga kura.
Kwa kuwa pesa za kwenye Tigopesa ni ngumu kuiba, hata hizi kura zitakuwa salama.
===========================
KURA kuwa treated kama CURRENCY
“Kura ikitumwa inahuishwa kwenye servers zote instantly hadi zile zilizopo kwenye bank za nje ya nchi.
Sasa ukibadili taarifa kwa kufoji kwenye server moja, server zingine zote zitakataa kureconcile na server yako iliyochezewa.
Ni kama unavyotuma oesa toka Airtelcmoney kwenda kadi ya bank ya Visa au Mastercard inayofanya malipo marekani, taarifa zote zinahuishwa kote, lazima pawe na reconciliation, huwezi kufoji chochote!
Kimsingi hapa, tunachukulia kura kama ‘Currency’, na inakuwa treated just like currency, yaani kuiba kura inakuwa kama umeiba pesa!! Na ukituma kura ni sawa na umetuma pesa!!”
Na kama jinsi unavyoangalia salio lako la bank au simu kwa uhakika kabisa, basi hata NEC wataweza kupata matokeo ya Urais, Ubunge na Madiwani kwa kuangalia tu salio lao kama mtu anavyoangalia salio lake kwa simu.
Mabank na mitandao ya simu itaingiza pia kipato kwa kuruhusu mifumo yao kutumika, wanaweza wakalipwa Lumpsum watakayokubaliana na NEC.
==========================
Update: 29/06/2023
www.jamiiforums.com

Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
===========================
Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali kama ifuatavvo: Amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya...