Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

Labda tutumie fingerprint. Unakuta namba zingine umemsajilia mtoto, nyingine ya simu ya kubaki nyumbani nk. Vile vimashine vya fingerprint vitafaa sana kurahisisha mambo na itaupdate database ya fingerprint pia
Miezi kadhaa kabla ya uchaguzi, kila mtu mwenye NIDA atapaswa kuainisha NEC ni namba ipi kati ya zile alizosajili ndio atapigia kura, hivyo ikifika uchaguzi, namba hiyo tu ambayo wewe ndio unayo physically, ndio itakuwa na option ya kupiga kura. Fingerprint ni kwa mawakala tu kwa wale wasio na simu.
 
Mbona kwenye uzi nimeeleza nini kifanyike kwa wale wasio na simu? Unafaidika nini kukurupuka kucomment bila kusoma thread?
Unadhani sijasoma comrade? Sijaona tu uchambuzi wa maana kwa wasio na simu mkuu, ni kama umeubadili rangi tu utaratibu wa sasa, ambao unatoa mianya ambayo ndiyo kelele kuu.

Ova
 
Unadhani sijasoma comrade? Sijaona tu uchambuzi wa maana kwa wasio na simu mkuu, uko kwenye utaratibu wa sasa unaotoa mianya ambayo ndiyo kelele kuu.

Ova
Umesoma na hujaona, kwahiyo niliposema wasio na simu watapiga kura kwa mawakala wa Tigopesa kwa kutumia mashine za bank za fingerprint nayo hukuiona?
 
Kwa utaratibu wako, unaweza kuwa msaada kwa mwenye simu tu, ila kwa wasio na simu, utaratibu wako unawabakiza kwenye utaratibu wa sasa unaotoa mianya.

Hata sasa wanapiga kura kwa hao mawakala, ambao ni wanaCCM wanaovaa tshirt's za NEC tu, na wanasimamia watu kupiga kura za udanganyifu.

Upigaji kura kwa mawakala wa Sim banking ni biometric, hivyo si sawa na ilivyo sasa, alama ya kidole ni unique, ukipiga kura ni kura moja tu.., mianya inakuwa imezibwa.., au hao mawakala watachongesha fingerprint ambazo hazipo NIDA, ofcourse not..
 
Nadhani ungejielekeza kujua kura zinaibwaje? Nadhani utapata njia nzuri. Bila shaka hujui kama hadi sasa matapeli wanasajili namba za simu, na bado kuna fingerprint.

Hii ni Tanzania, unajua kwanini namba za magari za 3D zilitolewa kwa nguvu? Ndiyo maana nimeelewa mpiga kura mwenye simu yake, lakini sijaelewa wa kwenda kupigia kura kwa mtu.

Kwa Tanzania kupiga kura usiyoweza kuiwekea kumbukumbu kwenye kifaa chako, ni kama utaratibu wa sasa tu. Upige kura halafu ukae mbali na kituo umbali wa mita ngapi sijui.

Fingerprint haijawa dawa Tanzania, maana simu za udanganyifu bado zinasajiliwa, na zinatumia kutuma meseji za majaribio ya kututapeli.

Mbona unahoji ambacho nimeshakijibu, hata kama mtu kasajilishwa laini 100 za simu, bado NIDA namba ni moja tu kwa laini zote hizo, na laini yoyote kati ya hizo 100 ikipiga kura, hizo zingine zote hazitaweza kupiga tena kura. Pia kama kuna laini za simu za ziada ambazo mtu alisajilishwa bila yeye kujua, kuna utaratibu upo tayari wa mtu kukagua namba zote za simu zilizosajiliwa kwa NIDA yake na kufuta zile zote ambazo hazitambui, NIDA namba ikishatumika kupiga kura, haitaweza tena kurudia kupiga kura, finger print ni unique. Na pia miezi kadhaa kabla ya uchaguzi, lazima mtu aainishe NEC kwamba ni namba ipi kati ya zile alizonazo atatumia kupigia kura, na hiyo tu ndio itakuwa na access ya kupiga kura, sasa kipi huelewi?

Kama mtu anaweka pesa kwenye simu na anaondoka, na kisha baade akiangalia salio lake anaikuta pesa yake, basi hata kura yako utaikuta tu..

Bank servers huwa ni ngumu kuchezea kwa sababu hazipo independent, zinahuishwa na servers nyingine nyingi kote duniani, ukichezea server yako itakuwa rejected na server zingine zote.. (Self auditing system). Ni kama technology inayotumika kutunza ledgers za ‘Cryptocurrency’ za Bitcoin nk., aisee huibi wala kugenerate fake currency hata moja, maana users ndio wana act kama servers, sasa server yako moja uichezee iseme CCM wana kura milioni 5, wakati kuna servers zingine elfu moja zinasema CCM wanakura milioni 1 tu, automatically server yako inakuwa blocked na kufungwa..

Kumbuka, kura itakuwa treated kama Currency
 
Sijui umeelewaje hoja yangu? Lakini, ulichofafanua sicho nilichomaanisha, ila nilikupa huo mfano wa matumizi yenye udhibiti wa fingerprint ambayo yameendelea kuwa holela.

Kwamba tuna usajili wa namba za simu kwa fingerprint, lakini bado zipo namba za simu zinasajiliwa na kuwa zikitumika kutapeli, zikiwa ni namba za wasiojulikana ila zinatumika.

Hata mfumo wa sasa wa upigaji kura wa Tanzania ni mzuri na umelindwa sana, lakini, vile kuwa unapiga kura kwa wakala ndipo penye shida, kwani kura yako iko kwa wakala.

Ni tofauti na mwenye simu yake kwa mujibu wa mfumo wako, yake iko salama.

Na umesema vizuri kuwa bank severs ni ngumu kuchezewa kwa sababu zinatumia microsoft security software, ila japo ni ngumu, ila zinachezewa na hela zinaibwa.

Mfano, kuna kesi ya CRDB ina miezi nane sasa, ilianzia pale Kituo cha Selander Bridge, watuhumiwa ni Wakenya, wako Keko, wameingilia mfumo wakachota hela nyingi.

Wengine wamejenga maghorofa Mbezi ya Kimara ili wayauze na kutakatisha. Kama una nafasi nenda pale kituoni wanaweza kukueleza.

Hata kesi ya Tabora ya CRDB, watu wa ndani ya CRDB kwa kushirikiana na watu wa nje, wamedanganya mfumo na wakachota hela.

Hivyo, bado mimi nauelewa mfumo wako kwa minajili ya kutatua tatizo, ni kwa upande wa wamiliki simu tu. Huko kwa wasio na simu, I'm sorry, No!

Unachosema nilikielewa. Kwamba kuna watu wanasajili laini za ziada kwa kutumia fingerprint za watu wengine na kuzitumia kufanya utapeli hiyo inawezekana kwa sababu tu

1.) NIDA MOJA INARUHUSIWA KUSAJILI ZAIDI YA NAMBA MOJA.

Ila kwenye kupiga kura ni tofauti ambapo

NIDA MOJA INAPIGA KURA MARA MOJA TU

Umeona utofauuti hapo? Kwahiyo huo mfano wako haufai kuimply kwenye kupiga kura.

2.) Wizi wanaoufanya hao unawezekana sababu tu ‘Monetary’ currency ni TWO WAY ‘Input’ na ‘Output’. Kwa pesa unaweka na kutoa, by default mifumo ipo hivyo.

Ila kwenye ‘Vote’ currecy ni ONE WAY, yaani ‘Input’ pekee, kura unaweka nankuangalia sallio, hakuna kutoa, by default mfumo utakuwa hivyo.

Umeona utofauuti hapo? Kwahiyo huo mfano wako haufai kuimply kwenye kupiga kura, maana kura si kitu unaweza ‘kudraw’ na kwenda kununua malaya bar.., value yake ni statutory tu, kwamba ikae pale na kuhesabika kwamba ilipigwa.
 
Bila kusahau matrillion ya kuchapisha makaratasi ya kupigia yataokolewa over the course of years..
 
Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money.

Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake.

Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia alama za vidole zilizosajiliwa na Nida, atatumia tu mashine zile zile za bank au smartphone za mawakala zilizoongezwa kipengele cha kupiga kura.

Kwa kuwa pesa za kwenye Tigopesa ni ngumu kuiba, hata hizi kura zitakuwa salama.

===========================
KURA kuwa treated kama CURRENCY

“Kura ikitumwa inahuishwa kwenye servers zote instantly hadi zile zilizopo kwenye bank za nje ya nchi.

Sasa ukibadili taarifa kwa kufoji kwenye server moja, server zingine zote zitakataa kureconcile na server yako iliyochezewa.

Ni kama unavyotuma oesa toka Airtelcmoney kwenda kadi ya bank ya Visa au Mastercard inayofanya malipo marekani, taarifa zote zinahuishwa kote, lazima pawe na reconciliation, huwezi kufoji chochote!

Kimsingi hapa, tunachukulia kura kama ‘Currency’, na inakuwa treated just like currency, yaani kuiba kura inakuwa kama umeiba pesa!! Na ukituma kura ni sawa na umetuma pesa!!”

Na kama jinsi unavyoangalia salio lako la bank au simu kwa uhakika kabisa, basi hata NEC wataweza kupata matokeo ya Urais, Ubunge na Madiwani kwa kuangalia tu salio lao kama mtu anavyoangalia salio lake kwa simu.

Mabank na mitandao ya simu itaingiza pia kipato kwa kuruhusu mifumo yao kutumika, wanaweza wakalipwa Lumpsum watakayokubaliana na NEC.

==========================
Update: 29/06/2023

===========================

Labda useme Yas Pesa
 
Back
Top Bottom