Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

Ana hoja
Asikilizwe 🤣
 
Unawajua CCM-NEC vizuri wewe lakini[emoji848][emoji848]?? hata hiyo Tigo pesa yenyewe unaweza amka imeibwa kabisa au kufilisika na haiwezi kuhesabu tena hasa kama wanashindwa uchaguzi wa rais. Over [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mifumo ya kibank ni very solid, huwezi chezea kizembe
 
Tuendelee kuwapa ushauri, kama kweli wana ni ya kutenda haki, basi hawana budi kuoboresha na kurahisisha mifumo
Tokea lini hawa jamaa wakatenda haki?njia za wazi hawawezi kubali wanataka zile zinazochakatika.Tupo bado enzi za zamani sana ,nchi nyingi duniani wame advance vote through electronics sisi tunang'ang'ania makaratasi
 
Kazi yetu ni kuongea na kushauri tu, hadi watuchoke wenyewe
 
NEC waanze maandalizi ya upigaji kura unaotumia teknolojia za kisasa zaidi za kibayometriki
 
Hii hoja ulifikiria mbali sana ingawa sijui ufanisi wake utakuwaje. Mtu mmoja kasajili line 5, watadhibiti vipi?
NIDA namba ni moja tu kwa mtu mmoja. Tangazo lilishatolewa kwamba kila mtu anapaswa kukagua namba zote zilizosajiliwa kwa NIDA yake, na afute zile ambazo hazitambui, na ni zoezi endelevu. Hivyo NIDA namba ikishatumika kupiga kura, haiwezi tena kutumika, maana finger print ni unique..
 
Sijui kwanini mtu ikitokea ukawa na simu ya mkononi, unakuwa unaamini kila mtu ana simu yake ya mkononi.

Ova
 
Labda tutumie fingerprint. Unakuta namba zingine umemsajilia mtoto, nyingine ya simu ya kubaki nyumbani nk. Vile vimashine vya fingerprint vitafaa sana kurahisisha mambo na itaupdate database ya fingerprint pia
 
Sijui kwanini mtu ikitokea ukawa na simu ya mkononi, unakuwa unaamini kila mtu ana simu yake ya mkononi.

Ova
Mbona kwenye uzi nimeeleza nini kifanyike kwa wale wasio na simu? Unafaidika nini kukurupuka kucomment bila kusoma thread?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…