Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni kuna mikoa gari zisingezidi 10 kusajiliwa?Binafsi nadhani tungerudi kwenye utaratibu wa kusajili magari kutokana na mikoa yanapotoka na mwishoni herufi mbili zozote.Mfano wale wa Iringa,gari inaweza kuwa IR 2345 GN,kwa Dar Es Salaam ingekuwa kwa manispaa yatokapo mfano,Kinondoni ingekuwa KN 3124 TU.Pia hata uhalifu wa kutumia magari ungepungua.
Yaan unataka tusiwavhuje wenye mikangafu na wenye vitu vipyaaaBadala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya zamani au ni mpya.
Napendekeza namba zinazofuata baada ya kuisha kwa namba ‘D’ ziwe katika mfumo wa ku-‘Randomize’ ambapo panakuwa hakuna mtitiririko maalum katika usajili wa namba za magari, hii itasaidia mtu kuuza gari lake kulingana na hali iliyonayo, na sio kuangalia namba, unakuta gari zuri lina hali nzuri ila linakosa soko kisa ni namba A
Number plate
Good idea, ila pia namba ziwe ‘randomized’ , zisionyeshe mtiririko wa kujua ipi imesajiliwa zamani na ipi imesajiliwa recently.Binafsi nadhani tungerudi kwenye utaratibu wa kusajili magari kutokana na mikoa yanapotoka na mwishoni herufi mbili zozote.Mfano wale wa Iringa,gari inaweza kuwa IR 2345 GN,kwa Dar Es Salaam ingekuwa kwa manispaa yatokapo mfano,Kinondoni ingekuwa KN 3124 TU.Pia hata uhalifu wa kutumia magari ungepungua.
Mm pia nawasubiri mkuu wala sina haraka nao...tutapata had ya laki 2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani namna E ikianza tu na nidhani baada ya miezi 2/3,gari za namba B na C tutazinunua kwa laki 5.
mfumo wenyewe hujaweka bayana.Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya zamani au ni mpya.
Napendekeza namba zinazofuata baada ya kuisha kwa namba ‘D’ ziwe katika mfumo wa ku-‘Randomize’ ambapo panakuwa hakuna mtitiririko maalum katika usajili wa namba za magari, hii itasaidia mtu kuuza gari lake kulingana na hali iliyonayo, na sio kuangalia namba, unakuta gari zuri lina hali nzuri ila linakosa soko kisa ni namba A
‘Randomly’ inamaanisha bila mtiririko wa kuonyesha upya/uzeemfumo wenyewe hujaweka bayana.
Hiyo watu hawajui, anaweza akanunua gari bovu akaacha zima kisa usajili wa namba ni mpya zaidiGari kuwa namba plate za usajili wa no mpya haimanishi kuwa gari hilo ni zima au, hiyo itategemeana , mfano Kuna magari yanauzwa kwa mnada wa serikali au mashirika na mengine yanakua yamechoka Sana . Sasa unapolinunua lazima ulisajili na usajili huo ni wa namba plate mpya.
Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
Watu wengi hununua gari toka Japan ili tu aweze kupata usajili mpya kwenye gari lake, na hivyo tunatumia pesa nyingi mno za kigeni kuagiza magari kama taifa, wakati huo huo kuna gari nyingi nchini zina hali nzuri kuliko hata hizo za kutoka japan (imefungwa engine mpya, gearbox mpya, matairi mapya, body halina accident damage, low mileage); ila linakosa soko kisa ni namba C, au B au D, ila kuna watu wanaagiza mikangafu toka Japan kisa tu itapata usajili mpya.Mkuu wazo lako ni too personal...
Kama haliingizii kipato taifa basi kwao hali make sense.
Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya zamani au ni mpya.
Napendekeza namba zinazofuata baada ya kuisha kwa namba ‘D’ ziwe katika mfumo wa ku-‘Randomize’ ambapo panakuwa hakuna mtitiririko maalum katika usajili wa namba za magari, hii itasaidia mtu kuuza gari lake kulingana na hali iliyonayo, na sio kuangalia namba, unakuta gari zuri lina hali nzuri ila linakosa soko kisa ni namba A.
=================================
Watu wengi hununua gari toka Japan ili tu aweze kupata usajili mpya kwenye gari lake, na hivyo tunatumia pesa nyingi mno za kigeni kuagiza magari kama taifa, wakati huo huo kuna gari nyingi nchini zina hali nzuri kuliko hata hizo za kutoka japan (imefungwa engine mpya, gearbox mpya, matairi mapya, body halina accident damage, low mileage); ila linakosa soko kisa ni namba C, au B au A, ila kuna watu wanaagiza mikangafu toka Japan kisa tu itapata usajili mpya.
Hii itatoa fursa ya kuanzishwa kwa ‘Car restoration facilities’ ambazo zinalorudisha gari katika hali ya upya kama ilivyokuwa kiwandani, hata hao Japan ndivyo wanavofanya kiasi wakituuzia mkangafu sisi tunaona kama jipya, hii itatengeneza ajira nyingi sana!!!!
Pia itaokoa fedha nyingi tunazotumia kuagiza magari toka Japan, maana mtu ataona anunue hapa hapa nchini restored car ambayo haitamwaibisha barabarani kwa kuwa na plate number ya zamani...
Hata kule Japan ndicho wanachofanya, gari inakuja huku utasema mpya; kinachokwamisha ‘Car restoration facilities Tz ni plate number, unatumia gharama kurestore gari halafu ukienda sokoni unaambiwa hiyo namba B chukua milini 2, inatukwamisha sana kama taifa na kuexport ajira kwenda Japan, maana gari za Japan tu ndio zinapewa usajili mpya, tunawatajirisha wao na kujifukarisha wenyeweNimependa idea ya car restoration facilities.
uhuru wa mawazo uheshimiwe wewe akili kubwa... mawazo ya watu hayapigwi lungu...Kama huna cha kuchangia kutokana na elimu duni kaa kimya sii kila kitu kujibu!!!
Akili ndogo kama jiwe
una zungumziaje katika kodi pia?Hata kule Japan ndicho wanachofanya, gari inakuja huku utasema mpya; kinachokwamisha ‘Car restoration facilities Tz ni plate number, unatumia gharama kurestore gari halafu ukienda sokoni unaambiwa hiyo namba B chukua milini 2, inatukwamisha sana kama taifa na kuexport ajira kwenda Japan, maana gari za Japan tu ndio zinapewa usajili mpya, tunawatajirisha wao na kujifukarisha wenyewe
Nchi zilizoendelea hufanya hv hata South AfricaBinafsi nadhani tungerudi kwenye utaratibu wa kusajili magari kutokana na mikoa yanapotoka na mwishoni herufi mbili zozote.Mfano wale wa Iringa,gari inaweza kuwa IR 2345 GN,kwa Dar Es Salaam ingekuwa kwa manispaa yatokapo mfano,Kinondoni ingekuwa KN 3124 TU.Pia hata uhalifu wa kutumia magari ungepungua.
Gari hata ikiuzwa ndani nchini, kuna pesa unalipa kabla huja-transfer ownership, kwahiyo bado kodi itapatikana, tutazalisha ajira za ndani kupitia ‘Car restoration facilities’ ambazo nazo zitalipa kodi, na kikibwa zaidi, pesa za kuagiza magari Japan tutazitumia kuagiza matrekta toka India ili kukuza uchumi wetu wa kilimouna zungumziaje katika kodi pia?
Ila pia namba ziwe randomizedNchi zilizoendelea hufanya hv hata South Africa
Ni wazo zuri sana hili lakini pia inakuwa rahisi kuyatambua magari katika mkoa husika.
Yaaap wazo zuri.Ila pia namba ziwe randomized
en.m.wikipedia.org