FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #101
Registration number ni ‘namba ya usajili’, sasa chagua mwenyeweSiku zote nasikia "a car with registration number T XYZ 123" hiyo nyingine sijawahi kuisikia kwa kweli.
Achana nae huyo mtoa post. Anataka kutupiga kwenye biashara yake ya magari.wewe unaona kuuza gari lake tu ndicho kitu muhimu sana mpaka kuvuruga system nzima.
Mbona miaka yote toka tunapata uhuru namba zinaenda kwa mtiririko huo huo wa TZA ikiisha ndiyo inafata TZB, na bado watu waliuziana magari tu
Mtakapotaka kuuziana gari lazima uoneshe kadi ya gari na pale kwenye gari ya gari juu kabisa wameandika "First Registration" huoni hapo mtu tayari ameshajua gari ilisajiliwa lini.Good idea, ila pia namba ziwe ‘randomized’ , zisionyeshe mtiririko wa kujua ipi imesajiliwa zamani na ipi imesajiliwa recently.
Shida si mtu anaenunua kuona mwaka wa kusajiliwa, shida ni pale unapoendesha gari mang’anyu barabarani halafu imeandikwa namba ‘A’, hicho ndiocho kinaketa shida hata watu kununua hizo namba ‘A’Mtakapotaka kuuziana gari lazima uoneshe kadi ya gari na pale kwenye gari ya gari juu kabisa wameandika "First Registration" huoni hapo mtu tayari ameshajua gari ilisajiliwa lini.
Ushauri wangu mtu anunue gari kutokana na hali yake na sio namba ya gari.
Kwa hiyo " registration number" inaweza isitamkwe iwekwe "plate number"?Registration number ni ‘namba ya usajili’, sasa chagua mwenyewe
Namba ya usajili wa magari ndio inaweza ikatamkwa ‘plate number’ , ila namba ya usajili wa mwanafunzi chuoni huwezi tumia ‘plate number’, legeza ubongoKwa hiyo " registration number" inaweza isitamkwe iwekwe "plate number"?
Mawazo yako brother wewe unaendasha gari yako unayoipenda na kuiamini unapata wapi shida ya kuwaza kwa watu wengine ambao gari sio yao?Shida si mtu anaenunua kuona mwaka wa kusajiliwa, shida ni pale unapoendesha gari mang’anyu barabarani halafu imeandikwa namba ‘A’, hicho ndiocho kinaketa shida hata watu kununua hizo namba ‘A’
Sawa. Kwa hiyo nikisema "a car with a number Plate T 123 XYZ" nitakuwa Niko Sawa!?Namba ya usajili wa magari ndio inaweza ikatamkwa ‘plate number’ , ila namba ya usajili wa mwanafunzi chuoni huwezi tumia ‘plate number’, legeza ubongo
Nazani hujamuelewa vizuri. Rudia Tena kusoma.wewe unaona kuuza gari lake tu ndicho kitu muhimu sana mpaka kuvuruga system nzima.
Mbona miaka yote toka tunapata uhuru namba zinaenda kwa mtiririko huo huo wa TZA ikiisha ndiyo inafata TZB, na bado watu waliuziana magari tu
Msumbji wanafanya hivyo katika kusajili magari wanazingatia mkoaBinafsi nadhani tungerudi kwenye utaratibu wa kusajili magari kutokana na mikoa yanapotoka na mwishoni herufi mbili zozote.Mfano wale wa Iringa,gari inaweza kuwa IR 2345 GN,kwa Dar Es Salaam ingekuwa kwa manispaa yatokapo mfano,Kinondoni ingekuwa KN 3124 TU.Pia hata uhalifu wa kutumia magari ungepungua.
Unaonaje ukatembea umevaa shati kali kabisa unaliamini ila limeandikwa ‘f@ck me’Mawazo yako brother wewe unaendasha gari yako unayoipenda na kuiamini unapata wapi shida ya kuwaza kwa watu wengine ambao gari sio yao?
Sio number plate, plate number.Sawa. Kwa hiyo nikisema "a car with a number Plate T 123 XYZ" nitakuwa Niko Sawa!?
Hata kenge angeweza kupost hiki ulichoandika, pinga kwa hojaHuna hoja juu ya usajili wa magari, kula ubwabwa kalale!