Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

Yaani huo ndo utafiti wako! Usikurupuke soma Tena kabla hujatuma, yaani umechukua sample English medium tu afu ukatoa conclusion pamoja na Swahili medium pia! Kule msingi Kila mwalimu ni mahiri kwenye somo Fulani kama sekondari tu ila kutokana na uhaba wa walimu kulingana na wanafunzi ndio maana wanalazimishwa wafundishe yote tu, Sasa kinachotokea mwl anafundisha anachoweza kwenye somo Hilo asilonaumahiri nalo,
Hapo ni suala serikali kuajiri Kila mwaka pia hata vyuo vya kati viwe na masomo ya kufundishia yaani wale wanaosoma cheti. Yote kw yote mkono wa serikali uwe mrefu kwa maslahi ya hao walimu na seminar ziwe za kutosha!
 
Wewe ulifundishwa na nani ukajua kuandika, kuhesabu na kusoma ulifundishwa na nani hadi ukafikia level uliyonayo kwa sasa. Kinyume na hapo ruhusu nikuite mpumbavu kama sio mjinga
 
Kwanini usiwafungie watoto wako projector ukawapa madini hayo halafu wakaenda kufanya necta kama private candidate
 
Hivi mbona jamii forums ya zamani sio kama ya sasa. Zaman kulikuwa na watu wwnye akili sana hatujuwa na wajingawajinga wengi humu, saiz tumevamiwa na watoto wapuuzi sana vipo vingine vina u de 18 humu, bado kidogo watakuja wale anatuma picha ana vichupi anaweka na namba ya simu kama ilivyo fb, ticktock na insta
 
Ivi wanafunzi wa siku hizi unawajua au unawasikia
Njoo na newz nyingine Kaka
 
nchi gani kati ya zile za ulimwengu wa kwanza wanatumia mfumo huu yaan walimu wanasahihisha tuu lkn wanafunzi wanafundishwa na projector?
 
Wazo lako zuri sana... Na ndiyo kinachofanyika kwenye shule za private, government bado sana...
 
Ungalikua karibu yangu ningalikupulika kwenzi la maana akiri ikurudie unamawazo ya kiwaki
 
nchi gani kati ya zile za ulimwengu wa kwanza wanatumia mfumo huu yaan walimu wanasahihisha tuu lkn wanafunzi wanafundishwa na projector?
Kule walimu wanaingia darasani kila siku, huku mwalimu kwa makusudi kabisa haingii darasani mwezi mzima, anapeleka wanafunzi kulima shamba lake, tufanyeje sasa?
 
Amka acha kuota ndoto, nchi kubwa hii
 


Ni brilliant idea ingawa inahitaji kuboreshwa sehemu fulani, mfano kama Mwanafunzi hajaelewa kipengele fulani katika somo husika amuulize nani??
Mbali na monitor wa darasa nani atakuwa msimamizi mkuu wakati wa kipindi kwani mwalimu kazi yake itakuwa ni kuangalia mahudhurio, kusahihisha maswali na kuchapa viboko tu??, hayo maswali marking scheme yake itapatikaje?? Nk.
 
Huyo atakaefundisha kwenye hiyo projector ni "malaika" nani mtoa mada?? Na mwanafunzi atajibiwa swali kwa FAQ?? Je kama ana swali jipya means asubiri hadi "malaika mfundishaji" afanye update eti?! Hahahaaa wewe jamaa ni ZUZU!
 
Huyo atakaefundisha kwenye hiyo projector ni "malaika" nani mtoa mada?? Na mwanafunzi atajibiwa swali kwa FAQ?? Je kama ana swali jipya means asubiri hadi "malaika mfundishaji" afanye update eti?! Hahahaaa wewe jamaa ni ZUZU!
Ndio, patakuwa na updated versions za video recordings kila wiki ikiwezekena, Tablets zote zitaungwa na internet bundle la bei nafuu. Maswali yote yanaweza kutumwa kwa mkupuo kwenye tablet ili waandaaji wa vipindi waunganishe maswali mapya kwenye FAQ ya updated recordings, baada ya miezi michache hapatakuwa na maswali mapya tena.., yote yatakuwa yameshawekwa kwenye FAQ
 
Nimekuuliza hao waandaaji ni kina nani?? Kama ni walimu au malaika toka mbinguni??? Na kama ni walimu wawe wamesomea wapi??
 
Hajui juhudi za kumfundisha mtoto mpaka ajue kisoma na kuandika, anakurupuka tuu
Mtoto, mwanafunzi anahitaji uwepo wa mtu maana kuna wengine unakuta hawajui kitu, wengine wanasinzia sasa projector itatumikaje hapo.

Mtoa mada hana mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…