aliya
Member
- Aug 11, 2022
- 20
- 14
Yaani huo ndo utafiti wako! Usikurupuke soma Tena kabla hujatuma, yaani umechukua sample English medium tu afu ukatoa conclusion pamoja na Swahili medium pia! Kule msingi Kila mwalimu ni mahiri kwenye somo Fulani kama sekondari tu ila kutokana na uhaba wa walimu kulingana na wanafunzi ndio maana wanalazimishwa wafundishe yote tu, Sasa kinachotokea mwl anafundisha anachoweza kwenye somo Hilo asilonaumahiri nalo,
Hapo ni suala serikali kuajiri Kila mwaka pia hata vyuo vya kati viwe na masomo ya kufundishia yaani wale wanaosoma cheti. Yote kw yote mkono wa serikali uwe mrefu kwa maslahi ya hao walimu na seminar ziwe za kutosha!