Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Uhuru wa kujieleza na haki ya kusikilizwa ndio msingi wa demokrasiaNapendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi
Huajiriki kwa merit za kawaida sasa unataka kutumia mwavuli wa JKT kupata kazi. Kwendraaa.Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi...
Kwani kitu gani cha maana munafundishwa huko JKT??Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Kwwhyo ikitoka JKT waje na Vyeti vya VETA... Kazi ipo...Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Wakiweka jkt ujue kigezo kingine div 4 ya 32 bado tu hutapata ajira πππNapendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi...
Hiki kigezo ni konkiW
Wakiweka jkt ujue kigezo kingine div 4 ya 32 bado tu hutapata ajira πππ
"JKT inakusaidia nini kama kingai na mahita waliwatesa makomandoo wa JWTZ"Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Tigo welcomes you to Airtel Rwanda. Disable roaming! Dial*147*00#>Roaming>then choose Enable or Disable roaming. More Info Tigo customer service +255714100100Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.