Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.

Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.

Mimi nimetoa pendekezo tu,
 
Kwani kitu gani cha maana munafundishwa huko JKT??
 
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.

Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Kwwhyo ikitoka JKT waje na Vyeti vya VETA... Kazi ipo...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
JKT nini bana afu sio kila Mtu anapenda huko kuhenyeka Wanao Enda JKT mostly ni Form six graduates Na sio kila Mtu kafika six, Serikali iendeleze aliloanzish Hayati Magufuli ni katika wakati wake Vijana wasio Na Connection wala ndugu kwenye taasisi nyeti kama Hazina au BOT au Takukuru walipata kazi
 
JKT ifutwe tu maana sioni umuhimu wake. Kuna jipya gani mnafundishwa huko JKT?
Mkitoka huko mnaishia kuwa walinzi tu na kulialia
 
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.

Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
"JKT inakusaidia nini kama kingai na mahita waliwatesa makomandoo wa JWTZ"
 
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.

Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Tigo welcomes you to Airtel Rwanda. Disable roaming! Dial*147*00#>Roaming>then choose Enable or Disable roaming. More Info Tigo customer service +255714100100
 
Nimebet mkeka wangu Man U atachukua EPL na Ronaldo atakuwa mfungaji bora.
Vipi wadau uta tick kweli,maana ajira za bongo stress tupu😂😂😂
 
Mimi napendekeza kigezo Cha kujiunga na makampuni ya kubeti lazima uwe na cheti JKT,
Wewe jinga sana, kwa kuwa umeenda JKT unaona kila mtu kapita huko, mafunzo ya JKT yameanza 2013 kwa mujibu wa sheria, Sasa je Hawa wanao unga unga certificate, diploma , na wengine je? Kila ya kuanza ,
 
Back
Top Bottom