African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Mi naona tuachane na pesa ya makaratasi turudi kwenye barter trade au tutumie dhahabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kuwaza tu kuwa dunia inaelea kwenye cashless, hili wazo lako bado litafaa miaka 20 ijayo? Pia nchi kama Zimbabwe wana noti kubwa, ina maanisha uchumi wao kuwa imara?Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Halafu watu wengi wamemsapoti ,lakini siwezi kwani si wote wanajua hata mimi kabla ya kuwa na uelewa wa masuala hayo niliwahi kufikiri kama yeye.Unaweza kukuta nawewe una degree ya uchumi. Kama ni hivyo acha tu Msukuma atukane wenye elimu maana inasikitisha
Kutokana na nyuzi za nyuma za mtoa mada, nadhani atakuwa ni mhandisi (engineer).Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Money is digital nowdays,unabeba mabulungutu ya nini?,...Japo kwa upande mwingine jamaa yupo sahihi, hakuna kitu kinanikera kama kuwa na bulungutu la noti zenye thamani ya kawaida
Unayajua madhara ya kufanya hivyo kiuchumi?,...usiombe itokeeNapenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Hawakuwa serious kabisa hawa 😄🍺Kutokana na nyuzi za nyuma za mtoa mada, nadhani atakuwa ni mhandisi (engineer).
Kama ndivyo, atakuwa amedandia fani asiyoijua, Tena bila kufanya utafiti.
Mfano, wakati ule Zimbabwe ilipokuwa na inflation ya kutisha wali print noti ya trillion Mia moja !
Sasa linganisha hiyo na USA yenye uchumi mkubwa ambayo noti yake ya denomination kubwa zaidi ina sifuri mbili tu (yaani $100).
View attachment 2660667
Ulichokuwa unazungumzia hapa ni tofauti kabisa na hoja nilizojenga. Tukiwa na noti ya elfu 50 (TSH 50,000) na laki moja (100,000 TSH), pengine si kila mtu ataweza kuishika kwa urahisi, itakuwa kama vile Dola za Marekani 100 (USD 100). Watu watakaoweza kumiliki noti hizo ni wale ambao vipato na miamala yao inaanzia elfu 50 na kuendelea. Kuhusu Zimbabwe, mfumuko wa bei uliwalazimu kuchapisha noti zenye thamani kubwa, kwani noti ndogo zilikuwa na thamani ndogo ikilinganishwa na bei za bidhaa sokoni. Hivyo Case ya Zimbwabwe haiwezi kuingizwa kwenye hii mada.Kutokana na nyuzi za nyuma za mtoa mada, nadhani atakuwa ni mhandisi (engineer).
Kama ndivyo, atakuwa amedandia fani asiyoijua, Tena bila kufanya utafiti.
Mfano, wakati ule Zimbabwe ilipokuwa na inflation ya kutisha wali print noti ya trillion Mia moja !
Sasa linganisha hiyo na USA yenye uchumi mkubwa ambayo noti yake ya denomination kubwa zaidi ina sifuri mbili tu (yaani $100)
View attachment 2660667
Haya ndio majibu ya kisomi sasa.Masuala ya uchumi sio kama katiba eti unapendekeza au mswada hapana, inajibia na forces of economy, kama inflation rate, Export and Import balance, intensity of domestic trade, micro and macro economy, level of foreign investment etc........mapendekezo yako hayana mashiko in economic terms.
Mimi nina swali tu, kwa yeyote mwenye ufahamu juu yake.Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Mkuu 'Covax', huitendei haki hiyo elimu yako unayodhani unayo kwa majibu kama haya uliyoweka hapa.Masuala ya uchumi sio kama katiba eti unapendekeza au mswada hapana, inajibia na forces of economy, kama inflation rate, Export and Import balance, intensity of domestic trade, micro and macro economy, level of foreign investment etc........mapendekezo yako hayana mashiko in economic terms.