Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Viongozi wa watanzania wengi ni wajinga hivyo inawezekana.Watanzania sio wajinga kiasi hicho
PhD ya Madelu system itakubaliana na hili.πHahaha hii Ndio Think Tank ya Economic Inteligence ya wapi?
Yeah kwasasa inatakiwa hata ukitaja jina la Samia ukatwe tozo.Mi nadhani kodi ya kicha irudi ru kuliko mapendekezo yooote haya, kila mwenye miaka 18 alipe kodi - Hii ndio idea inayoclick kwenye ubongo wa Dk. Madelu
Inabidi tuweke tozo hata hapa jf, kila ukichangia unakatwa elfu moja..πWangeweka Tozo ukisaini vitabu ofisi za Serikali ili kuongeza mapato ya Nchi na CAG aendelee kutoa taarifa za wizi kila mwaka zisizofanyiwa kazi...
Tatizo wahuni wanaziiba uzalendo ni kutumia rasilimali zilizipo kwa angalau usawa ila sio kuumiza wachache hapo hakuna Uzalendo Mkuu..unakuta Kigoma bara bara,Maji au Umeme ni tatizo harafu mikoa mingine vitu hivyo vipo mpaka maporini hapo Uzalendo hakuna..kwa mtu mzalendo, anaweza kua tayari hata kulipishwa kodi ya kichwa, kama itakuwa inaenda kuendeleza nchi. hivi tutakaa nchi ya kimaskini kama hii hadi lini? tuweni wazalendo.
Tozo zinakuchanganya hadi unakosea mada.π
Mnakuja mmebeba miwa na kuku.πKusema sisi wa mikoani tunachafua Jiji..