Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo.
Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry.
Nimeona sana toll gates pale Bangkok Thailand.