Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo.

Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry.

Nimeona sana toll gates pale Bangkok Thailand.
 
Mi nadhani kodi ya kicha irudi ru kuliko mapendekezo yooote haya, kila mwenye miaka 18 alipe kodi - Hii ndio idea inayoclick kwenye ubongo wa Dk. Madelu
 
kwa mtu mzalendo, anaweza kua tayari hata kulipishwa kodi ya kichwa, kama itakuwa inaenda kuendeleza nchi. hivi tutakaa nchi ya kimaskini kama hii hadi lini? tuweni wazalendo.
 
kwa mtu mzalendo, anaweza kua tayari hata kulipishwa kodi ya kichwa, kama itakuwa inaenda kuendeleza nchi. hivi tutakaa nchi ya kimaskini kama hii hadi lini? tuweni wazalendo.
Tatizo wahuni wanaziiba uzalendo ni kutumia rasilimali zilizipo kwa angalau usawa ila sio kuumiza wachache hapo hakuna Uzalendo Mkuu..unakuta Kigoma bara bara,Maji au Umeme ni tatizo harafu mikoa mingine vitu hivyo vipo mpaka maporini hapo Uzalendo hakuna..
 
Back
Top Bottom