Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Hatutakubali Asilani!Shida mijitu inajipendekeza mdogomdogo utasikia baadhi ya mechi za ligi kuu kupelekwa Zenji hapa wanatest tu ikikubali utasikia kikao cha TFF kimepitisha sheria ya ligi kuchezwa huko
Muhimu kuzingatia kanuni. Kama unakumbuka kuna timu ilitaka kwenda Zanzibar TFF wakasema kanuni haziruhusu hii ni ligi ya bara.hebu acheni mambo yakipuuzi tukiwa namawazo kama yako kuja kupata umoja wakitaifa na kuinga Africa itakuja kuwa tabu sana!.
if the option failed to the mainland let it be Zanzibar!.
Umeniwahi mkuu nilitakuuliza hili, Watanganyika tunajipendekeza sana. Ivi ulishawahi kusikia fainali ya mapinduzi kuchezwa bara.Muhimu kuzingatia kanuni. Kama unakumbuka kuna timu ilitaka kwenda Zanzibar TFF wakasema kanuni haziruhusu hii ni ligi ya bara.
Sasa haya mashindano ni ya Tanzania?
Haina shida kuweka kanuni za mashindano mbona ulaya nadhan spain walihamisha baadhi ya mechi kupigwa nje ya spain.
Kwa akili yako ndogo unadhani ni sahihi kwa ligi ya Tanganyika fainali kufanyika Zanzibar, au utuambie lini Uliona Kipanga na KMKM wakicheza Kwa Mkapa fainali ya Karume Cup?
Anayetia siasa ni Kariaacha kutia siasa kwenye mambo ya football
Kwa muktadha wa soka yupo rightnakataa upotoshaji huu
Ni zile zile siasa za kinafiki tu, na hayo yote ni kutaka kupoza sumu aliyoitema Lisu juu ya muungano!! Subiria uone mabango yatakayokuwa uwanjani!!
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja
Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar
Sisi wapenda soka wa Tanganyika tuliojiandaa kwenda viwanja vya Tanganyika kuangalia fainali hiyo hatutakubali na kuna mpango wa kwenda Mahakamani kuzuia jambo hilo haramu.
Rais wa TFF hana Mamlaka yoyote ile ya kuamua kuliendesha soka la Tanzania atakavyo yeye kwa sheria za mfukoni mwake
Ni kweli kwamba sisi ni Wajinga lakini siyo Wajinga kiasi hicho.
PIA SOMA
- Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?
Naendelea kusisitiza TFF ni GENGE la WAHUNI waliojificha kwenye uongozi za soka.Naona Ligi ya Tanganyika nayo wamehamishia Zanzibar
HakikaNaendelea kusisitiza TFF ni GENGE la WAHUNI waliojificha kwenye uongozi za soka.