Kundi linaweza kufanya kimpango wao bila ya kukejeli wengine, and vice versaLakini hii nchi si ina uhuru wa kuabudu?
Kama kuombea wafu ni ibada ya kishetani kuna shida gani kundi fulani likaifanya hiyo ibada?wanakukera nini wewe....umekuwa Mungu?
HujalazimishwaHello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen
Soma mada Kwa ufahamu,Leo nyuzi za hivi zitakuwa nyingi kweli.
Wewe member unajua mtu yyte aliyepatww na maafa Yale ya kipumbavu yaliyosababishwa na viongozi majuha wa ccm?
Sasa maridhiano ya nn?
Sawa!Kundi linaweza kufanya kimpango wao bila ya kukejeli wengine, and vice versa
Mbona mnalazimisha waislamu wafuate ,? wanafiki wakubwa nyie. Mwambie yule mgalatia mwenzio afute uzi wake wa kichoko.Hujalazimishwa
Hayajibiwi kivipi wewe umejuaje hayajibiwi?Soma mada Kwa ufahamu,
Maombi ya wafu hayasikizwi,
Ila ukiomba kisasi Kwa damu isiyo na hatia , utajibiwa haraka,
Maombi yaendelee, ila yaombwe Kwa usahihi
Soma mada Kwa ufahamu,
Maombi ya wafu hayasikizwi,
Ila ukiomba kisasi Kwa damu isiyo na hatia , utajibiwa haraka,
Maombi yaendelee, ila yaombwe Kwa usahihi
Sasa kama mombi hayasikilizwi na wanafanya kaxi ya bure wewe unaumia nini?Soma mada Kwa ufahamu,
Maombi ya wafu hayasikizwi,
Ila ukiomba kisasi Kwa damu isiyo na hatia , utajibiwa haraka,
Maombi yaendelee, ila yaombwe Kwa usahihi
Arobain ipi ? Kwa vile arobain inasomwa baada ya siku ngapi ?Kuna wale 40 ya marehemu nao waache?
Hivyo ndivyo ilivyo, Naunga mguu hoja.Hello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen
Quote of the dayNi siku ya kuomba toba kwa ajili ya mauaji yalitokea, lakini pia kuombea kiti cha rais, Maandiko yanasema Mkuu akipingukiwa na akili kuwatesa watu
Mithali 28:16-17
[16]Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;
Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
[17]Aliyelemewa na damu ya mtu
Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie.