Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

Why kikao.?Katiba inasemaje?Sheria za vyama vya siasa inasemaje kuhusu mikutano ya vyama?Huyo msajili ni mpuuzi kwani alichotakiwa ni kumwambia Siro aache upuuzi wake.Yeye ni sehemu ya haya yanayoendelea nchini.Anatafuta namna ya kujiosha machoni pa watu.
 
Hata huyo msajili hafai kupata hiyo heshima ni sehemu ya wavurugaji wa demokrasia

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Lengo ni kuyumbisha akili za watu tu. Mtu mwenye uelewa na akili timamu anajua nani asiyetii sheria ni polisi ambao wenye wimbo "tii sheria bila shuruti". Kwasababu wao wako juu ya sheria!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Kushiriki ni muhimu ili waambiwe ukweli la! Itaonekana tunawaogopa
 
Huu ndio ukweli
 
Na wala siyo IGP Sirro tu, bali hata huyo msajili wa vyama hana uhalali wowote wa kupatanisha vyama vya upinzani, labda vyama uchwara vya upinzani ambavyo ni vyama ndugu na CCM.
 
Saimon siro Hana nafasi ya kukaa na chadema ukizingatia yote yalio yanyika na polisi chini yake viongozi wangu msikubali msikubali msikubali
 
Mkuu ni vizuri wakutane waweke yote mezami na wasisite kuulizana maswali magumu magumu, ila pia majibu mepesi yasikubalike.
Pale zikasomwe sheria na matekelezo yake, ndio zikatamalaki na si kauli za watawala.
 
Unajua nchi kuoza wewe? Hujaenda nchi zilizooza, siku ukifanikiwa kufika nchi zilizooza utafunga huo mdomo wako
Wewe kwa akili zako nyingi unavyoona,hawa watawala wanaipeleka wapi ili Taifa?
 
CCM wamevurugwa kinyama. Siro ndiye spokesperson wao kwa sasa.
 
KIKAO kama hiki ndo cha kusutana

Mimi nawashauri muhudhurie mtoe maduku duku yenu
Msipohudhuria maana yake hamna malalamiko ya msingi.
 
Msiposhiriki maana yake kila mkiandaa chochote mtatwangwa, amueni kusuka au kunyoa
Hiyo ni kawaida mbona ,wala sio kitu kigeni kama hata tukivaa tu nguo zenye uwekundu na weupe wanaanza kutukimbiza wakijua ni sare za Chadema,Kuna kigeni hapo?
 
KIKAO kama hiki ndo cha kusutana

Mimi nawashauri muhudhurie mtoe maduku duku yenu
Msipohudhuria maana yake hamna malalamiko ya msingi.
Unamlalamikia sirro ambaye katiba inamtaja kama mlinzi tu ili iweje ?
 
Pinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…