Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

Mnachezewa shere tu muingie kwenye 18, Tanzania hakuna upinzani kuna waropokaji tu
Yes hao hao waropokaji ndio wanafanya polisi wote wasilale, msajili atafute mbinu za kubana waropokaji hata na wewe upo makini kufatilia waropkaji.
 
Yes hao hao waropokaji ndio wanafanya polisi wote wasilale, msajili atafute mbinu za kubana waropokaji hata na wewe upo makini kufatilia waropkaji.
Nakazia ni waropokaji na wapayukaji tu, huku miaka inasonga.2025 mitano tena [emoji23][emoji1787]
 
Wewe ndo ulikuwa kwenye ile video ya Gwajima....😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…