Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

Hata mimi napinga ndiyo maana hata nikienda bar dem yoyote akiniomba nimnunulie bia moja hata awe mzuri vipi huwa najibu "Wewe umeninunulia ngapi?" Huku nimeweka uso wa Vladimir Putin. Wanazoea vibaya kupewa pewa tu na wanaona kama ni haki yao vile.
Ati uso Vladimir Putin ๐Ÿ˜‚
 
Nimekuelewa mjomba, labda wanaume wa hapo kitambo kidogo walimfanya mwanamke weak kwa sababu zao binafsi.
Ila mwanamke sio weak kama kama wanaume wengi wanavyodhani, miaka ya hivi karibuni ndo kidoogo wanaibuka ibuka japo hiyo ya kuwaona ni dhaifu inawatafuna na sidhani kama itakuja iishe.

Ndio maana wanaambiwa kaa ndani utaletewa kila kitu, we zaa na kulea mume na watoto as if huyu mtu yeye binafsi hana future ya kua yeye.
 
wifi,,hayo ya usafi atakuwekea house girl usijal,,au atanunua mashine,,au robot Eunice ataletwa hapo,, kazana kuuza vijora uache kitu mezani
Hizo pesa za kumlipa h/girl atazitoa wapi km anataka kusaidiwa majukumu na mkewe?!!
Mimi wifi niwe mkweli nitawajibika km mume nikiona kweli hapa ametingwa au kuna mradi wa familia pesa zake zinaenda huko kufanikisha hilo, otherwise wala sijigusi.!!
 
Mleta unawapotosha vijana waingie ndoani Kichwa Kichwa bila kujiandaa kiuchumi afu ndoa zao zivunjike kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao
 
Kushiriki anashiriki ila tayari kuna mipaka ilishachorwa kupitia kwenye division of labour kwenye societies. Hayo unayotaka wewe wafanye wanawake inabidi labda uunde dunia yako ili yatekelezwe.
Mimi nimetaka mambo Gani?

Mbona nimefafanua vema?
Au umesoma ukiwa umepaniki!

Nimekataa hoja ya Mume ni provider na mke hapaswi kusaidia chochote

Nimesema Noo!

Mke asaidie vyovyote alivyo

Kama mama wa nyumbani, atashughulikia kazi nyumbani

Kama anafanya biashara au kazi ya Akira ana wajibu wa kuleta kipato nyumbani, maana huo ndio mfumo wa ndoa tangu enzi za mababu

Kama mwanamume anaamua kubeba mzigo wote na aamue tu, Ila asitulazimishe kufanya kama yeye kwa kisingizio kuwa ndio principle ya ndoa,
Hata Adamu ambaye ndio wakwanza kujua utamu wa kukojoa kwenye mbunye ya Eva hakufanya hayo!
 
Hizo pesa za kumlipa h/girl atazitoa wapi km anataka kusaidiwa majukumu na mkewe?!!
Mimi wifi niwe mkweli nitawajibika km mume nikiona kweli hapa ametingwa au kuna mradi wa familia pesa zake zinaenda huko kufanikisha hilo, otherwise wala sijigusi.!!
mtachangiana wifi jaman ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila mleta mada kwel ni weakman
 
Mke anaelezwa vizuri mithali 31!nenda kasome uelewe!

Mke mwema anaamka asubuhi na kumwagilia mizabibu,husuka na kupata mapato na mumewe humwamini!!

Huyo ndio mke wa kimaandiko!

Huyu mvivu anaetoa papuchi akidhani ni malipo ya matunzo ni kahaba aliechangamka sema ni site tu haendi!!

Mwanamke anaetegemea vya kupewa coz anatoa papuchi huyo ni kahaba na sera hizi za kileo zinafundisha wanawake kuwa makahaba ndani ya nyumba ya mwanamme!

Kasome vizuri uelewe!!Tangu enzi na enzi kina Dorkasi walisuka na kuuza mazulia hata walipokufa watu wakalia Hadi wakafufuliwa!

Hawa ke was Leo wanauza uchi ili wapate matunzo kwa mkataba uitwao ndoa za kileo!!!

Ukahaba umehamia majumbani,Ni bora wakaenda site ikajulikana kuwa wanauza uke!
 
Hata mimi napinga ndiyo maana hata nikienda bar dem yoyote akiniomba nimnunulie bia moja hata awe mzuri vipi huwa najibu "Wewe umeninunulia ngapi?" Huku nimeweka uso wa Vladimir Putin. Wanazoea vibaya kupewa pewa tu na wanaona kama ni haki yao vile.
Hayo ni mazingira ya kuombana ndiomana umeombwa, kwann usinunue bia ukanywee kwako km hutaki kuombwa??
Btw umenichkesha sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
What a waste of sperms
 
Inshu ni kuwa mnaishi kwa upendo au laa! Haya yote ni kwa sababu watu wamevurugwa๐Ÿคฃ. Zamani mbona mababu zetu hawakuwa wana lalamika hivi?
Wavivu wamejaa tantalila nyingi midomoni na CCM itaendelea kutawala mpk mwisho wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ