To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ni kweli mkuu,tupo Congo😔ni kweli mnakula wali mkavu na maji?![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu,tupo Congo😔ni kweli mnakula wali mkavu na maji?![]()
Una hoja nzuri sana ila hii hoja wangekuja nayo serikali maana yenyewe ndio imetengeneza huo mfumo wa dharau.Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii
Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla
Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti kisa some of them walienda kwa olevel certificate
Hata kama imefika wakati walimu wakawa wengi mtaani kwa sababu ya kimfumo bado haiwafanyi walimu wadharauliwe kwani kada nyingi bado zinasota kwenye suala la ajira
Nchi hii hakuna mwenye afadhali tukija suala la maslahi hasa walio halmashauri na tukija kwenye mishahara bado utakuta mfumo unaotumika kulipa watumishi ni kulingana na kiwango chao cha elimu kwa kada zote
Kuhusu hali ya kimaisha ngazi ya halmashauri wote ni wagaa gaa na upwa wanakula wali bila mchuzi dharau zinatoka wapi?
Tukija superiority ya kada michepuo ya kada zingine na ualimu mtiririko ni uleule either mtu aende olevel certificate, advance certificate au chuo moja kwa moja
Kwanini walimu wadharauliwe? Kwanini tuwakejeli? Nchi hii tunategemeana hii ni ecosystem bila mwalimu bila dactari na kada zingine hakuna mtiririko wa uendeshaji nchi tuheshimiane
nyie waalimu wa Mbeya kila Menu ya chakula haikosi maparachichi: asubuhi chai prachichi, mchana ugali parachichi, na usiku wali parachichi.Ni kweli mkuu,tupo Congo😔

Wanaohujumu uchaguzi sio walimu pekeao ni kundi kubwa why walimu peke yao?Walimu tunawaheshimu sana
Kila mtu ametoka kwenye mikono ya mwalimu
Walimu wameamua kujidhalilisha wenyewe
Walimu hawadai haki zao
Kutumika kuhujumu uchaguzi n.k
Serikali na walimu wenyewe wajipe hadhi
Walimu ndo Huwa wanatumika kuhujumu Imani zetu na kutuletea viongozi matapeli wasiokuwa chaguo la wananchiWanaohujumu uchaguzi sio walimu pekeao ni kundi kubwa why walimu peke yao?
Okaynyie waalimu wa Mbeya kila Menu ya chakula haikosi maparachichi: asubuhi chai prachichi, mchana ugali parachichi, na usiku wali parachichi.
you're blessed wallah, sio kama mikoa mingine walimu wanashindia uji wa wanafunzi![]()
Vipi wamama wanaovishwa vitengeWalimu ndo Huwa wanatumika kuhujumu Imani zetu na kutuletea viongozi matapeli wasiokuwa chaguo la wananchi
Kwenye kundi hilo walimu ndo wasomiVipi wamama wanaovishwa vitenge
Vipi wafanyabiashara wakubwa
Vipi boda boda
Vipi makundi ya vijana wanaohongwa buku tano tano
Vipi wanafunzi wa vyuo wa kada zote
List ni ndefu sana swali ni why walimu?
Ila mwalimu pekeake ndio anaonekanwa ana malipo kiduchu na mabango kwenye mitandao ya kuwakashifu kama yoteSalary scale za local government almost zinafanana
Wanakera sana hawathamini na hawaoni umuhimu wa mwalimu Tanzania hii kana kwamba siku serikali ikafuta kada ya ualimu sijui nini kitaendeleaMleta mada,tunaomba usitutetee acha mambo yawe kama yalivyo...
Humu jf hakuna jema,yaani ukitafuta jema humu u fail....
Hutakiwi kutegemea huruma ya watu ili usimame, Hivyohivyo na mapungufu unayoonekana nayo jithamini mkuu
Sisi ni walimwengu...hutotuweza...tunajionaga perfect for everything....Be calmWanakera sana hawathamini na hawaoni umuhimu wa mwalimu Tanzania hii kana kwamba siku serikali ikafuta kada ya ualimu sijui nini kitaendelea
Heshima ya mtu inatoka kwa mtu
Umeongea vyema mkuu sina cha kuongezaUkiwa unakasirika na kila maoni yanayotolewa humu JF utawehuka bure... Hili ni jukwaa la fikra huru, humu kuna kila aina ya watu...
Kimsingi maoni yote yana mantiki ukiona kilichoandikwa na mwenzako hukielewi maana yake hujakomaa kifikra...
Sasa unakuta kuna Mwl anapokea million 1 kwa mwezi halafu kuna mimi nipo private sector napokea laki3 ila kilasiku nawatukana walimu humu, unadhan nani mgonjwa wa akili?
Walimu wanatucheka sana tunavyo waona cheap, nilichogundua Mwl anapokea mshahara ila kwa siku anafanya kazi masaa yasiyozidi 4, hapo kama akiwa ana vipindi kama hana wengi hawaendi kazini wanafanya mambo yao binafsi...🙄
WaTz wengi tuna kufa mapema kwasababu ya chuki wivu makasiriko husda vinyongo na roho mbaya...
List ni ndefu sana ya watu wanaotumika na serikali why walimu pekeyao?Una hoja nzuri sana ila hii hoja wangekuja nayo serikali maana yenyewe ndio imetengeneza huo mfumo wa dharau.
Hivi wewe unajua siku hizi hadi wanafunzi wenyewe hawaheshimu walimu?
siku hizi wanafunzi wanaacha shule Kwa sababu anayemfundisha anaishi maisha mabovu kuliko ya nyumbani kwao?
Toka miaka ya 2000 hakuna kiongozi yeyote ambaye alitaka mtoto wake awe Mwalimu , heshima itatoka wapi kama viongozi wenyewe wanaona Bora watoto wao wauze ngada kuliko kuwa walimu??
KAZI YA UALIMU NI KAZI TAKATIFU ILA TUMEIHARIBU WENYEWE...
Juzi hujaona walimu wamepewa wali maharage wa buku tatu ili wahudhurie semina ya mtaala ulioboreshwa ..!? HAPO HESHIMA INATOKA WAPI ??