Napinga kwa nguvu zote baadhi ya member humu kuwaona walimu kama "special group"

Mkijitambua mtaheshimika🤗🤗🤗

Mtoa mada dharau kwa walimu ni jinsi walimu mlivyojiposition badala ya kujiweka kama wasomi nyie waalimu mmeamua kuwa muwe mnatumika kama tissue paper za TOILET.

Ukiacha dharau ya NYIE KUKOSA HELA,NA PIA KADA YENU HAINA MARUPURUPU.DHARAU NYINGINE NI KWA NYIE KUTOJITAMBUA MKIONGOZWA NA KILE CHAMA CHENU.

📌📌Anzeni kujitambua mtaheshimika.
 
Shida ni pale walimu walipoanza kuhujumu chaguzi mbalimbali na kujihusisha na mambo kedekede ya kiserikali.

Ndipo hizo propaganda zikaanza ila kabla ualimu ilikua ni kada ya heshima.
 
Ni mwalimu mwenyewe anajihusisha au huwa anahusishwa. Ungekuwa ni mwalimu ungefanyaje mambo ya kiserikali ambaye ndiye bosi wako yasikuhusu
 
Mimi nipo poa kabisa. Walimu na waheshimiwe na kuthaminiwa pale watakapojiheshimu na kutambua thamani yao kwanza. Wawe wamoja kwanza.
Hata wasipotambua thamani yao kama wanawafundishieni watoto wenu mlipaswa kuwapa heshima...
But si ombi maana mwaweza kuendelea kutudharau maana si nyinyi mwatuwezesha kuishi bali mishahara midogo hiihii inayowafanya nyie mtudharau🙏
 
Hakuna walimu wanaotumika bali wale walio wateule wa raisi wasibebeshwe mzigo walimu wote kwa ajili ya kikundi kidogo chenye maslahi na mfumo wa uchaguzi

Kuhusu marupurupu kada nyingi za halmashauri hazina marupurupu na hawadharauliwi kiasi hicho
 
Basi ndio shida iko hapo ndgu kama huwezi kumkosoa bosi wako basi lazima akudhalilishe ndio maana baadhi yao huchapwa viboko na viongozi wa kisiasa tu.
Ilitokea Mara moja tu ndio uone Mara zote huweza kutokea? 😀
Viboko kwa wanafunzi tu vimefutwa. Ule I wa madaraka ndio huonesha how ovyo is the bosi
 
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii

Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla

Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti kisa some of them walienda kwa olevel certificate

Hata kama imefika wakati walimu wakawa wengi mtaani kwa sababu ya kimfumo bado haiwafanyi walimu wadharauliwe kwani kada nyingi bado zinasota kwenye suala la ajira

Nchi hii hakuna mwenye afadhali tukija suala la maslahi hasa walio halmashauri na tukija kwenye mishahara bado utakuta mfumo unaotumika kulipa watumishi ni kulingana na kiwango chao cha elimu kwa kada zote

Kuhusu hali ya kimaisha ngazi ya halmashauri wote ni wagaa gaa na upwa wanakula wali bila mchuzi dharau zinatoka wapi?

Tukija superiority ya kada michepuo ya kada zingine na ualimu mtiririko ni uleule either mtu aende olevel certificate, advance certificate au chuo moja kwa moja

Kwanini walimu wadharauliwe? Kwanini tuwakejeli? Nchi hii tunategemeana hii ni ecosystem bila mwalimu bila dactari na kada zingine hakuna mtiririko wa uendeshaji nchi tuheshimiane
Acha wawe underrated tuu sababu hawajitambui na hawajui haki zao,yaani stakihiki zao za kiutumishi hawazijui,they are very cheap, hata diwani au mtendaji wa kijiji anaweza wapa order na wakatii, hawajui kama kuna kitu kinaitwa
extra duty payment
overtime
night
on transit
annual increments
madaraja.....vyote ivyo wanavipata kwa hisani.
wake up teachers , you are witching yourself
 
Ilitokea Mara moja tu ndio uone Mara zote huweza kutokea? 😀
Viboko kwa wanafunzi tu vimefutwa. Ule I wa madaraka ndio huonesha how ovyo is the bosi
Sio mara moja mzee, nikiwa primary niliwashuhudia walimu jinsi wanawaogopa hao mabosi zao, jinsi wanafokewa kama watoto na vijana wadogo.

Na ukifatilia hata baadhi yao husema hawawajibiki kwao ila ndo ivo wana mabosi lukuki, kila mmoja anataka achukue point tatu kwao.

Kama wangekua na umoja, hakyanani ingekua kada inayoogopwa.
 
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii

Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla

Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti kisa some of them walienda kwa olevel certificate

Hata kama imefika wakati walimu wakawa wengi mtaani kwa sababu ya kimfumo bado haiwafanyi walimu wadharauliwe kwani kada nyingi bado zinasota kwenye suala la ajira

Nchi hii hakuna mwenye afadhali tukija suala la maslahi hasa walio halmashauri na tukija kwenye mishahara bado utakuta mfumo unaotumika kulipa watumishi ni kulingana na kiwango chao cha elimu kwa kada zote

Kuhusu hali ya kimaisha ngazi ya halmashauri wote ni wagaa gaa na upwa wanakula wali bila mchuzi dharau zinatoka wapi?

Tukija superiority ya kada michepuo ya kada zingine na ualimu mtiririko ni uleule either mtu aende olevel certificate, advance certificate au chuo moja kwa moja

Kwanini walimu wadharauliwe? Kwanini tuwakejeli? Nchi hii tunategemeana hii ni ecosystem bila mwalimu bila dactari na kada zingine hakuna mtiririko wa uendeshaji nchi tuheshimiane
why are u offended simply for a positive recognition of teachers?
 
Napendekeza course ya ualimu istopishwe kwa muda Tz nzimaa
 
Back
Top Bottom