Wewe kweli ni madame mwalimu.Mleta mada,tunaomba usitutetee acha mambo yawe kama yalivyo...
Humu jf hakuna jema,yaani ukitafuta jema humu u fail....
Hutakiwi kutegemea huruma ya watu ili usimame, Hivyohivyo na mapungufu unayoonekana nayo jithamini mkuu
Uko poa mkuu?Wewe kweli ni madame mwalimu.
Mimi nipo poa kabisa. Walimu na waheshimiwe na kuthaminiwa pale watakapojiheshimu na kutambua thamani yao kwanza. Wawe wamoja kwanza.Uko poa mkuu?
Ni mwalimu mwenyewe anajihusisha au huwa anahusishwa. Ungekuwa ni mwalimu ungefanyaje mambo ya kiserikali ambaye ndiye bosi wako yasikuhusuShida ni pale walimu walipoanza kuhujumu chaguzi mbalimbali na kujihusisha na mambo kedekede ya kiserikali.
Ndipo hizo propaganda zikaanza ila kabla ualimu ilikua ni kada ya heshima.
Hata wasipotambua thamani yao kama wanawafundishieni watoto wenu mlipaswa kuwapa heshima...Mimi nipo poa kabisa. Walimu na waheshimiwe na kuthaminiwa pale watakapojiheshimu na kutambua thamani yao kwanza. Wawe wamoja kwanza.
Mishahara mdogo ni bei gani To yeye?Hata wasipotambua thamani yao kama wanawafundishieni watoto wenu mlipaswa kuwapa heshima...
But si ombi maana mwaweza kuendelea kutudharau maana si nyinyi mwatuwezesha kuishi bali mishahara midogo hiihii inayowafanya nyie mtudharau🙏
Basi ndio shida iko hapo ndgu kama huwezi kumkosoa bosi wako basi lazima akudhalilishe ndio maana baadhi yao huchapwa viboko na viongozi wa kisiasa tu.Ni mwalimu mwenyewe anajihusisha au huwa anahusishwa. Ungekuwa ni mwalimu ungefanyaje mambo ya kiserikali ambaye ndiye bosi wako yasikuhusu
Ilitokea Mara moja tu ndio uone Mara zote huweza kutokea? 😀Basi ndio shida iko hapo ndgu kama huwezi kumkosoa bosi wako basi lazima akudhalilishe ndio maana baadhi yao huchapwa viboko na viongozi wa kisiasa tu.
Acha wawe underrated tuu sababu hawajitambui na hawajui haki zao,yaani stakihiki zao za kiutumishi hawazijui,they are very cheap, hata diwani au mtendaji wa kijiji anaweza wapa order na wakatii, hawajui kama kuna kitu kinaitwaKuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii
Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla
Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti kisa some of them walienda kwa olevel certificate
Hata kama imefika wakati walimu wakawa wengi mtaani kwa sababu ya kimfumo bado haiwafanyi walimu wadharauliwe kwani kada nyingi bado zinasota kwenye suala la ajira
Nchi hii hakuna mwenye afadhali tukija suala la maslahi hasa walio halmashauri na tukija kwenye mishahara bado utakuta mfumo unaotumika kulipa watumishi ni kulingana na kiwango chao cha elimu kwa kada zote
Kuhusu hali ya kimaisha ngazi ya halmashauri wote ni wagaa gaa na upwa wanakula wali bila mchuzi dharau zinatoka wapi?
Tukija superiority ya kada michepuo ya kada zingine na ualimu mtiririko ni uleule either mtu aende olevel certificate, advance certificate au chuo moja kwa moja
Kwanini walimu wadharauliwe? Kwanini tuwakejeli? Nchi hii tunategemeana hii ni ecosystem bila mwalimu bila dactari na kada zingine hakuna mtiririko wa uendeshaji nchi tuheshimiane
Sio mara moja mzee, nikiwa primary niliwashuhudia walimu jinsi wanawaogopa hao mabosi zao, jinsi wanafokewa kama watoto na vijana wadogo.Ilitokea Mara moja tu ndio uone Mara zote huweza kutokea? 😀
Viboko kwa wanafunzi tu vimefutwa. Ule I wa madaraka ndio huonesha how ovyo is the bosi
why are u offended simply for a positive recognition of teachers?Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii
Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla
Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti kisa some of them walienda kwa olevel certificate
Hata kama imefika wakati walimu wakawa wengi mtaani kwa sababu ya kimfumo bado haiwafanyi walimu wadharauliwe kwani kada nyingi bado zinasota kwenye suala la ajira
Nchi hii hakuna mwenye afadhali tukija suala la maslahi hasa walio halmashauri na tukija kwenye mishahara bado utakuta mfumo unaotumika kulipa watumishi ni kulingana na kiwango chao cha elimu kwa kada zote
Kuhusu hali ya kimaisha ngazi ya halmashauri wote ni wagaa gaa na upwa wanakula wali bila mchuzi dharau zinatoka wapi?
Tukija superiority ya kada michepuo ya kada zingine na ualimu mtiririko ni uleule either mtu aende olevel certificate, advance certificate au chuo moja kwa moja
Kwanini walimu wadharauliwe? Kwanini tuwakejeli? Nchi hii tunategemeana hii ni ecosystem bila mwalimu bila dactari na kada zingine hakuna mtiririko wa uendeshaji nchi tuheshimiane
Napendekeza course ya ualimu istopishwe kwa muda Tz nzimaaKuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii