Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

NDIO NAUFUFUA HIVI KAMA IFUATAVYO...
 
Mkuu salama ?
 
Spirit ya timu bado kubwa...arsenal pia bado inamhitaj mtu kama Ozil..huyu arteta amrudiahe tu huyu jamaa apewe kazi kutengeneza nafasi..hizi mambo kila mtu akabe ni ushamba tu.
 
Nasikia wameshaanza kupigiana simu..nahisi wachezaji wanamzingua Arteta namna alivyo handle issue ya Ozil.

Hasa hawa akina Auba na seniors wengine.

Nadhani Arteta achutame tu ama sivyo asepe atuachie timu yetu.

Pata picha jamaa zetu ambao ni ACT/CDM afu ni arsenal pia.

Huu mwaka 2020 wasipopata jaka moyo [emoji3][emoji3]
 
umeanza vizuri lakini umemaliza vibaya
 
mara paaaapp.. kiutani utani Arsenal wameshuka daraja.

nawaza kwa sauti tu..
 
Kauli yako imetimia Mkuu. Ni AIBU TUPU!
 
Kauli yako imetimia Mkuu. Ni AIBU TUPU!
Niliona jambo hili mapema na kwa Wakati ule Arsenal walinisikiliza na wakamuacha Arteta na kumchukua Emery , lakini baada ya kumtimua Emery nikawashauri online wamchukue madevu wa Wolves , wakanipuuza na kuchukua garasa lao hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…