Wacha wajifurahishe, tutavibadirisha when time is ripe upuuzi huo. Madikiteita wanapeana majina. Tusubiri la Abdul sijui itakuwa wapi.Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
Wewe utakuwa umerogwa wahi kwa waganga kabla hujafa. Nikwambie kwamba wewe ni mjinga na chizi kabisa. Yaani aliyeanzisha mradi na kafanya mengi mazuri na makubwa unasema asipewe jina. Nani anaweza kuthubutu kusema reli ya SGR kajenga zaidi ya Magufuli. Kichaa chako,ujinga wako na umasikini wako isikufanye umseme vibaya Rais wa maisha wa Watanzania. Jinga na zombie kabisa wewe. Kufa leo jinga wewe
Maji yasiposaidia basi ajinyonge kabisa.Pole sana, maumivu ya kizidi kunywa maji pumzika
Ulitaka iitwe Mbowe?
Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli
Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.
Nadhani hizi ni chuki
ni muhumu waTanzani wakapuuza mawazo na maoni ya kupinga mambo ya maana kama haya ya kuweka kumbukumbu majina muhimu ya walio wahi kua viongozi waandamizi serikalini katika mambo ya msingi na ya maana kama hili la SGR, na hasa ukizingatia mtoa hoja hana sababu yeyote ya maana wala ya msingi, zaidi sana si mzalendo kwa chama chake na wala Taifa na tunu zake muhimu 🐒Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
Chuki ya kimalayamalaya kwa hayatiHii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
Mkuu wapinzani tulikuwa sisi kwenye ile chadema ya Dr Slaa, hizi zilizobaki sasa hivi ni nyumbu tu zisizotumia akili hata kuvuka mto. Kazi ni kufuata mkumbo tu bila kufikiri.Mkuu hivi ukishakua mpinzan, na akili unatupa chooni ??.
Wewe kazi yako kuwawasifia kina Marope na mzee wa goli la mkono,kifupi wewe ni khanithi mkuuStemdi ya mabasi, magufuli,.madaraja magufuli eeehh,.too much.
Hakuna wasomi mahiri, wanamuziki mahiri,
Kuna majina mengi Tu ya vitu mbalimbali tunaweza kuyatumia Kwa ajili ya maeneo muhimu. Sio lazima yawe majina ya watu.Stupid nonsense!.
Kwenda zako kule wewe. Magufuli alikua kiongozi mzuri na mwadifu sana. Acha unoko. Kama alikutumbua kitu hilo ni shauri lako mwenyewe.Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
SiendiKwenda zako kule wewe. Magufuli alikua kiongozi mzuri na mwadifu sana. Acha unoko. Kama alikutumbua kitu hilo ni shauri lako mwenyewe.
Weka hiyo mifano kwanza...Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
HayaMalaya tu ndio atakataa jina Magufuli hapo
Mbowe kawa mwenyekiti wa chadema toka Magufuli ni mwalimu ila hajaweza hata kujenga ofisi ya chama makao makuu ila hilo hulioni unachokiona na mapungufu machache ya mtu alieweza kujenga reli ya sgr na mradi mkubwa wa umeme! Sio siri we jamaa unaliwa jicho maana una una chuki za kike sana.Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
Kajengea hela zake?Mbowe kawa mwenyekiti wa chadema toka Magufuli ni mwalimu ila hajaweza hata kujenga ofisi ya chama makao makuu ila hilo hulioni unachokiona na mapungufu machache ya mtu alieweza kujenga reli ya sgr na mradi mkubwa wa umeme! Sio siri we jamaa unaliwa jicho maana una una chuki za kike sana.
Tulijua kwamba tukipiga kiberiti kichaka, mijusi na panya watajianikaSahau bwege wewe