Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

Nchi hii CHADEMA wote wana TIN namba ukiachana na mambulula ya ccm
 
Wewe jamaa reli ni ya kodi za wananchi wakiwemo chademq pia. Mfumo duni wa elimu ya ccm ndoa inazalisha watu duni kama wewe
 
Tumefika huko?
Mwisho mtasema marufuku kuvuta hewa ya CCM.
 
Weka ushahidi hapa wa haya madai yako wewe una chuki tu na Lissu na ukiandika uongo na uzushi wako mods wanakuchekea tu.
 
kodi yao imetumika kujengea hiyo reli au umesahau. wewe ndio wale watoto kwenye familia wanatofautianana watoto wenzao baba mmoja halafu wanasema wenzao wasile msosi wa familia kwasababu tu ya tofauti zao ila wote bado wanafamilia.
Lakini waliupinga
 
Wakati mwingine kabla hujaandika na kupost mada fikiria basi hata kwa akili yako mdogo ulionayo
 
Kila binadamu ni sawa.
 
Pinga pia wasilipe kodi ili mshindwe kuhonga hawara zenu, mwehu mkubwa wewe!

Wewe sio bure hata kidogo. Umejaa chuki mpaka unatapika kinyesi cha mawazo kupitia mdomoni mwako na kuyaandika hapa!
 
Kama wanalipa nauli wapande tu. CHADEMA tutawaadhibu kwenye sanduku la kura.
 
Kwa sababu SGR imejengwa kwa kodi za Baba ako au sio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…