Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii CHADEMA wote wana TIN namba ukiachana na mambulula ya ccmWafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.
Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa haziendekezi upuuzi wa kulea wasaliti ambao kazi yao ni kuzurura kwenye mataifa na vyombo vya habari kushusha thamani ya taifa. Wafuasi wa Chadema wametumia muda mwingi kuionyesha dunia kuwa watanzania hawajielewi na miradi kama ya SGR ni upuuzi mtupu na haina faida yoyote kwa taifa. Kwa nini sasa wapande? Wametubu lini madhambi yao?
Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu, wakale walikopeleka mboga.
Tumefika huko?Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.
Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa haziendekezi upuuzi wa kulea wasaliti ambao kazi yao ni kuzurura kwenye mataifa na vyombo vya habari kushusha thamani ya taifa. Wafuasi wa Chadema wametumia muda mwingi kuionyesha dunia kuwa watanzania hawajielewi na miradi kama ya SGR ni upuuzi mtupu na haina faida yoyote kwa taifa. Kwa nini sasa wapande? Wametubu lini madhambi yao?
Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu, wakale walikopeleka mboga.
Weka ushahidi hapa wa haya madai yako wewe una chuki tu na Lissu na ukiandika uongo na uzushi wako mods wanakuchekea tu.Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.
Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa haziendekezi upuuzi wa kulea wasaliti ambao kazi yao ni kuzurura kwenye mataifa na vyombo vya habari kushusha thamani ya taifa. Wafuasi wa Chadema wametumia muda mwingi kuionyesha dunia kuwa watanzania hawajielewi na miradi kama ya SGR ni upuuzi mtupu na haina faida yoyote kwa taifa. Kwa nini sasa wapande? Wametubu lini madhambi yao?
Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu, wakale walikopeleka mboga.
Lakini waliupingakodi yao imetumika kujengea hiyo reli au umesahau. wewe ndio wale watoto kwenye familia wanatofautianana watoto wenzao baba mmoja halafu wanasema wenzao wasile msosi wa familia kwasababu tu ya tofauti zao ila wote bado wanafamilia.
Ni nyumbu wa TanzaniaChadema si watanzania?
Kila binadamu ni sawa.Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.
Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa haziendekezi upuuzi wa kulea wasaliti ambao kazi yao ni kuzurura kwenye mataifa na vyombo vya habari kushusha thamani ya taifa. Wafuasi wa Chadema wametumia muda mwingi kuionyesha dunia kuwa watanzania hawajielewi na miradi kama ya SGR ni upuuzi mtupu na haina faida yoyote kwa taifa. Kwa nini sasa wapande? Wametubu lini madhambi yao?
Kuwaruhusu wafuasi wa Chadema wapande ni kushusha morali ya wazalendo kuendelea kupigania maendeleo ya nchi yetu, wakale walikopeleka mboga.
Ukiwa CCM hivi kwani lazima uwe hayawani?Kabisa,lissu na mbowe wawapandishe wafuasi wao kwenye edikopta yao,wajinga sana chadema
Wewe kichaa chako tu kinakusikilizisha ujinga,weka hapa ushahidi wa madai yakoKama mlijua ni kodi zenu kwa nini mlikuwa mnautukana mradi?
Pinga pia wasilipe kodi ili mshindwe kuhonga hawara zenu, mwehu mkubwa wewe!Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.