Tumeenda mpaka kwa viongozi wa dini hamna kitu,Pole sana kiongozi ndoa toka 2005 hivi ni kitambo, mtafutie suluhisho kuwa nae karibu mpeleke kanisani au kwenye therapy atakuwa sawa.
aa kumbe huyo anakuactia #Kataa ndoaTumeenda mpaka kwa viongozi wa dini hamna kitu,
Nenda zaidi ya hapo kikubwa aponeTumeenda mpaka kwa viongozi wa dini hamna kitu,
Pole sana kiongozi ndoa toka 2005 hivi ni kitambo, mtafutie suluhisho kuwa nae karibu mpeleke kanisani au kwenye therapy atakuwa sawa.
Mwache tu hii dunia hakuna anayeombea matatizo yamkute,kama kuchanganyikiwa hata mtu wake wa kalibu yanaweza kumkutaaa kumbe huyo anakuactia #Kataa ndoa
Mara nyingine ni vyema kutua mzigo mambo yanavyokuwa magumu, wanaume tuna tabia ya kujikaza kisabuni ila tuwe na limitTumeenda mpaka kwa viongozi wa dini hamna kitu,
Hili jambo ni kubwa hata mimi nimeliona huku.Hii hali unaweza kusema imewapata wanawake wengi yaani kwa sasa idadi ya wanawake wanaopoteza utulivu wa akili ni kubwa Sana.
Chanzo cha tatizo kinaweza kuwa nini?Hii hali unaweza kusema imewapata wanawake wengi yaani kwa sasa idadi ya wanawake wanaopoteza utulivu wa akili ni kubwa Sana.
Punguza kukurupuka mkuu, nimesema "au therapy" unaelewa therapy ni nini?Kwanini wafrika tunapenda waza waswala ya Imani imani(Dini au waganga) wakati hilo swala liko wazi ni matatizo ya akili .
Huo muda anahangaika na wachungaji ambao hawatamsaidia kitu angetakiwa ahangaike na hospitali za akili aweze tatuliwa changamoto yake.
Tatizo mtu anakuwa na tatizo la akili(ukichaa) hatupendi kukubali tunaamini linatibika tuu kawaida kumbe hapana.
Mtu akiambiwa mpeleke mgonjwa MIREMBE anahisi kama anamdhalilisha mgonjwa kumbe ndo sehemu sahihi.
Sahihi..nilichojifunza kwasasa kwenye maisha, kwenye jambo lolote lile ili upate suluhisho , FIRST, RECOGNIZE AND ADMIT THE PROBLEM. Kubali kuwa hili ni tatizo kisha tafuta mahala sahihi.Kwanini wafrika tunapenda waza waswala ya Imani imani(Dini au waganga) wakati hilo swala liko wazi ni matatizo ya akili .
Huo muda anahangaika na wachungaji ambao hawatamsaidia kitu angetakiwa ahangaike na hospitali za akili aweze tatuliwa changamoto yake.
Tatizo mtu anakuwa na tatizo la akili(ukichaa) hatupendi kukubali tunaamini linatibika tuu kawaida kumbe hapana.
Mtu akiambiwa mpeleke mgonjwa MIREMBE anahisi kama anamdhalilisha mgonjwa kumbe ndo sehemu sahihi.
Most of them Ndumba tu wanaroga sana so they reap their bad karmaChanzo cha tatizo kinaweza kuwa nini?
Pole sana Mkuu, nenda kacheki tatizo la Afya ya akili.Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Mi najua we ushajua chanzo ni nini!!😂😂Chanzo cha tatizo kinaweza kuwa nini?