Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #121
Njoo twendeSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo twendeSawa
Najaribu kufikiria, wale wanaokaa kijijini wamewezaje?Kijijini maisha sio marahisi kama unavyofikiri.
Utajuta na kutamani kurudi mjini.
1. Hospitali zipo mbali.
2. Baadhi ya maeneo hakuna maji safi na salama.
3. Ushirikina uliopitiliza.
4. Wivu uliopitiliza.
5. Barabara za vumbi.
6. Kukaa gizani ni kawaida .
7. Huduma za kifedha zipo mbali.
Kuna vijiji bado vina mazingira mazuri kwa kuishiBasi huko kijijini ni sawa na peponi
Maisha ya kijijini ni mazuriMbona unatema bungo mapema sana, ata kipindi Cha pili hatujaanza
Nitakujibu pale utakapo jongea na mimi na kuishi kijijini 😀Wew
huyo kwenye picha ni wew
Nangojea maoni yenu katika kuainisha vijiji vizuriUnarudi kijiji gani mwanetu?
Ni maisha tu mkuuu, kijijini au vijijina hali ya uchumi yote ina uwiano sawa au tofauti kidogo, na shughuli za kiuchumi mara nyingi zinakuwa zinaelekeana, mjini huyu anafanya huku wewe unafanya kule hii ndio changamotoMjini mkikutana mtaani mnakuwa kama hamjuani, kila mmoja ana changamoto zake
Kuna baadhi ya mikoa ina vijiji vizuri; mbeya, kilimanjaro, Arusha n.kNi Kijiji gan kina hayo maisha nami nije maana huku kijijini kwetu Kuna Kila takataka Hadi najiuliza hichi ni Kijiji au ni mji uliokosa maendeleo. Kuna unafiki fitna na uzandiki Kuna roho mbaya chuki na masimango ukiona mtu amekuja kukutembelea ni amekuja kukuchota maneno
itabidi nivitafute aiseeKuna baadhi ya mikoa ina vijiji vizuri; mbeya, kilimanjaro, Arusha n.k
Kijijini kufanikiwa hutakiwi kuwa na matamanio makubwa; muhimu upate mahitaji yako ya kila siku, kama ulifanikiwa kuwekeza mjini,kile kitakusaidia kuishi maisha mazuri yenye utu kijijini.Ni maisha tu mkuuu, kijijini au vijijina hali ya uchumi yote ina uwiano sawa au tofauti kidogo, na shughuli za kiuchumi mara nyingi zinakuwa zinaelekeana, mjini huyu anafanya huku wewe unafanya kule hii ndio changamoto
Sawa, amini pia kuna wazungu wanatoka huko kwao na kuja kuishi huku vijijiniitabidi nivitafute aisee
Nitaingia kwa mkwara mzito, wa kujiita nabii 😀Usisahau kurogwa especially Kama Ni mzigua, msambaa, mrangi.
Hakuna namna, maisha yenyewe haya kufikisha miaka 80 ni mtihaniKulipa Kodi kila mwezi halafu unazungukwa na watu wa hovyo unafikiri utani! Bora kalime karanga mkuu.
Kwa nini mkuu? Nitaishi kufuatana na mazingiraNakuhakikishia ndugu we nenda ila utatamani kurudi mjini utakosa ata nauli
Maisha ya mjini yanatufanya tuwe chawa ili tuishi vizuriSahihi mtu asiyelala mapema anaharaka kuzeeka.