Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

Hakuna namna, maisha yenyewe haya kufikisha miaka 80 ni mtihani
Hahaha sema tatizo la vijiji vingi bongo maisha yake ni magumu sana (Hakuna huduma za kijamii) ila ukibahatika utapata utulivu sana.

Huwa nina plan baadae huko nikijipata nije kununua eneo mbali kabisa na miji nikaishi zangu kwa amani nikiwa nafuga.

Mjini unaweza kupata vingi ila amani na utulivu kuna muda vinapatikana kwa gharama sana.
 
Ukikataa,nitakutana na hawa wengine huko
kp.jpg
 
Back
Top Bottom