Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

Najaribu kufikiria, wale wanaokaa kijijini wamewezaje?
 
Ni Kijiji gan kina hayo maisha nami nije maana huku kijijini kwetu Kuna Kila takataka Hadi najiuliza hichi ni Kijiji au ni mji uliokosa maendeleo. Kuna unafiki fitna na uzandiki Kuna roho mbaya chuki na masimango ukiona mtu amekuja kukutembelea ni amekuja kukuchota maneno
 
Mjini mkikutana mtaani mnakuwa kama hamjuani, kila mmoja ana changamoto zake
Ni maisha tu mkuuu, kijijini au vijijina hali ya uchumi yote ina uwiano sawa au tofauti kidogo, na shughuli za kiuchumi mara nyingi zinakuwa zinaelekeana, mjini huyu anafanya huku wewe unafanya kule hii ndio changamoto
 
Kuna baadhi ya mikoa ina vijiji vizuri; mbeya, kilimanjaro, Arusha n.k
 
Ni maisha tu mkuuu, kijijini au vijijina hali ya uchumi yote ina uwiano sawa au tofauti kidogo, na shughuli za kiuchumi mara nyingi zinakuwa zinaelekeana, mjini huyu anafanya huku wewe unafanya kule hii ndio changamoto
Kijijini kufanikiwa hutakiwi kuwa na matamanio makubwa; muhimu upate mahitaji yako ya kila siku, kama ulifanikiwa kuwekeza mjini,kile kitakusaidia kuishi maisha mazuri yenye utu kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…