Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mtu akifanya mazuri apongezweBasi haya
Makusanyo thabiti, na matumizi Bora ya mapatoNi kweli. Niimetoka Zanzibar Barabara ni kila Kona mpaka zingine zinaishia kwenye milango ya watu.
Lakini je Zanzibar imepata wapi pesa zote hizo? Makuzanyo ya ZRA Kwa mwaka? Isije kuwa pesa za Tanganyika zinapelekwa huko
Zanzibar inangaa kweli kweli. Huku bara ni kutazamana tu sijui hata Nini kinaendeleaMakusanyo thabiti, na matumizi Bora ya mapato
Pesa ikikusanywa na iktumika vizuri Inaleta tijaZanzibar inangaa kweli kweli. Huku bara ni kutazamana tu sijui hata Nini kinaendelea
Akina nani? Kusepa kwenda wapi?Wanajipanga kusepa hapo patakuwa kama Mauritius
Akina nani? Kusepa kwenda wapi?
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi wake na kulinganisha na hali ya kisiasa, kiuchuki na kijamii ilivyo sasa atakubaliana na Mimi kwamba Dr Hussein Mwinyi ameupiga Mwingi Sana.
Na Mimi Bush Dokta sitachika kumsifi na kumtia Moto yeye pamoja na team yake ya Uongozi ambayo wanaweza haya kutokea
Narudia tena kusema Dr Hussein Mwingi na Team yake wame niprove wrong.
Nawatakia kazi njema na Mungu awabariki Sana.
Shule zinajengwa za kisiasa, hospitali n vituo vya afya, miundombinu ya uchumi na Usafirishaji, utalii, Hali ya utulivu na Amani visiwani humo unazidi kuwa Bora na kuweka mazingira Bora ya biashara.
Na sasa nasikia kuna funny kuna shimo linatema Futa hapo malindi, yajayo ni Neema Tele
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko.
Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia.
Ndani ya miaka mitano ya utawala wa Dr Hussein Mwinyi, Barabara za Zanzibar hasa za mjini zimeng' aa mitaa imeongezeka thamani.
Barabara kuu ya Uwanja wa Ndege to Mnazi Mmoja, Kutoka kwa Mchina Mwanzo hadi Mwanakwerekwe kuelekea Bububu na zote zinazokatiza mtaa kwa mtaa ikiwemo ile ye Jang'ombe ni njia ambazo zimesumbua kwa muda...
- Bush Dokta
- hussein mwinyi kazi kazi nzuri mwinyi nzuri zanzibar
- Replies: 5
- Forum: Jukwaa la Siasa
NakubaliKwa sasa sehemu salama ni zanzibar, I'm very sure few years to come tutaanza kuingia zanzibar kwa visa
Maendeleo yanayofanyika zanzibar it will take 50 yrs Tanzania Bara kufikia,
Nenda kaone airport zao, nenda kaone barabara zao, ni hatari,
Hata wana Chato walikuwa wanaona hivyo wakati wa Magufuli. Rais wa JMT ni Mzanzibari kwa nini Zanzibar isipate upendeleo uliopitiliza kwa gharama za rasilimali za Tanganyika?Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi wake na kulinganisha na hali ya kisiasa, kiuchuki na kijamii ilivyo sasa atakubaliana na Mimi kwamba Dr Hussein Mwinyi ameupiga Mwingi Sana.
Na Mimi Bush Dokta sitachika kumsifi na kumtia Moto yeye pamoja na team yake ya Uongozi ambayo wanaweza haya kutokea
Narudia tena kusema Dr Hussein Mwingi na Team yake wame niprove wrong.
Nawatakia kazi njema na Mungu awabariki Sana.
Shule zinajengwa za kisiasa, hospitali n vituo vya afya, miundombinu ya uchumi na Usafirishaji, utalii, Hali ya utulivu na Amani visiwani humo unazidi kuwa Bora na kuweka mazingira Bora ya biashara.
Na sasa nasikia kuna funny kuna shimo linatema Futa hapo malindi, yajayo ni Neema Tele
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko.
Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia.
Ndani ya miaka mitano ya utawala wa Dr Hussein Mwinyi, Barabara za Zanzibar hasa za mjini zimeng' aa mitaa imeongezeka thamani.
Barabara kuu ya Uwanja wa Ndege to Mnazi Mmoja, Kutoka kwa Mchina Mwanzo hadi Mwanakwerekwe kuelekea Bububu na zote zinazokatiza mtaa kwa mtaa ikiwemo ile ye Jang'ombe ni njia ambazo zimesumbua kwa muda...
- Bush Dokta
- hussein mwinyi kazi kazi nzuri mwinyi nzuri zanzibar
- Replies: 5
- Forum: Jukwaa la Siasa
Usimamizi mzuri ktk kukusanya Mapato na mpangilio mzuri wa matumizi vinaleta tijaHata wana Chato walikuwa wanaona hivyo wakati wa Magufuli. Rais wa JMT ni Mzanzibari kwa nini Zanzibar isipate upendeleo uliopitiliza kwa gharama za rasilimali za Tanganyika?
Subiri Samia aondoke madarakani kama utakuja kuleta simulizi za Abunuasi kama hizo. Zanzibar ambayo kwa miaka luluki ilishindwa kulipa deni la umeme wa TANESCO leo imepata rasilimali wapi kwa ghafla hata kuweza kupata mandeleo hayo?
Ni kupitia "available opportunities, Zanzibar is now better off at the cost at the of Tanganyika's resources"
Wananchi wataamuaBadilisheni katiba mumfanye awe rais wa muungano 2030
Wananchi ndio huwa wanaamua?Wananchi wataamua
Siku zote katib imewaa mamlkaWananchi ndio huwa wanaamua?
Enzi za Magu Chatu ilijengeka, sasa hapa awamu hii, pongezi apewe Samuya au Mwinyi Dogo?Ni kweli. Niimetoka Zanzibar Barabara ni kila Kona mpaka zingine zinaishia kwenye milango ya watu.
Lakini je Zanzibar imepata wapi pesa zote hizo? Makuzanyo ya ZRA Kwa mwaka? Isije kuwa pesa za Tanganyika zinapelekwa huko