Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eneo gani hilo wanazingatia professionalism?Siyo mafundi tu; binafsi hapa Tanzania naona Kada zote hufanya kazi zao kwa kubahatisha..
Hata hawa Madaktari wetu, wengi wanabahatisha kwenye kutibu wagonjwa..
Wanasiasa ndiyo usiseme, na Uchawi wanatumia ili kufanikisha siasa zao Uchwara..
Tanzania ni maeneo machache sana wanazingatia Professionalism kwa asilimia 100%..
Nadiriki kusema Ikulu yetu pamoja na Wizara na Ofisi zote za Umma ndiyo Vinara wa kufanya mambo Kikanjanja kanjanja..