mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Wanakushangaa kwa kuwa wengi ni wajinga waliokimbilia ufundi. Wizi wizi na ujanja ujanja tuMafundi aina zote ni makanjanja na wengi wajinga wasiotaka kujiongeza maisha yao yote
Unakuta mechanics ana garage miaka 30 ila spanner ni zile zile ufundi ule ule na wizi kwenda mbele kwa baadhi
Yaani hawataki kujiongeza hata kuwa na vifaa vya maana
Garage inatakiwa iwe na kila kitu na kuenda na wakati
Wengine ni wajenzi nao hivyo hivyo mjenzi hana hata gari la kubebea vifaa vyake na hata akihitaji kitu
Hawa nao ni masikini tu wasiotaka kujiendeleza
Tatizo wana ujuzi ila hawataki kujipeleka mbele
Utasikia ooh hela hakuna, miaka 30 unasema hela hakuna
Yaani wote hali moja ni njaa tu na wizi na uongo ndio linawafanya wengi wasiendelee na ukiwaambia wanakushangaa